Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, jee wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tuu?. Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!.

Ni ushauri tuu

Paskali
Fedha ampe kimei ili wachaga wajazane!?..jakaya na magu walihangaika kuvunja mnara wa wachaga hiyo wizara,unataka warudi Tena!?
 
Dr.  Kimei sio mzuri sana wa kuongea, hata kujieleza kwake ni shida, uwaziri utakuwa mgumu kwake katika kujieleza bungeni.

Shida ya kuwapa wanafanyabiashara hizo wizara ni mgongano wa kimaslahi.
Naunga mkono hoja.
Kisha kwenye Mabenki kuna rushwa sana, ingawa sielewi utendaji wa Dr. Kimei ulikuwaje CRDB.
Bila kuvaa Shati la mikono mirefu, Benki zetu zote hupati mkopo.
Kama hakufaulu kudhibiti rushwa kwenye Benki moja, ataweza kuidhibiti akikabidhiwa Hazina ya Nchi?
Pendekezo langu ni Profesa Mussa Assad.
Huyu ni Mtanzania mwenye uwezo mkubwa na ambaye amedhihirika kuchukia rushwa.
Rushwa inaiumiza sana Nchi yetu.
Uzuri mwingine ni kwamba Profesa Mussa Assad atakuwa hana Jimbo (wa kuteuliwa) maana Ubunge wa Jimbo unachochea sana kutafuta pesa (za rushwa)
 
Ni bahati mbaya mtu akishaitumikia nafasi ya CAG haruhusiwi tena kushika madaraka ya kazi nyingine yoyote katika utumishi wa JMT.
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, jee wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tuu?. Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!.

Ni ushauri tuu

Paskali
Naomba utafute uzi niliondika jana nikasema waliotupiga tunaumia ila wanamtukana waziri wa fedha kuwa ni phd rubish
 
Sawa, lakini kwa sasa bado ipo!
Na usisahau, Paskali ni 'chawa' wa CCM.😂😂
Mkuu fundimchundo aka fundi utumbo (kwa kumbukumbu ya FMeS), kwanza asante kuchangia uzi huu, pili with due respect, kuniita mimi ni chawa wa CCM, sio kunitendea haki!. Japo mimi ni mwana CCM na kada wa CCM, na ni kweli siku hizi kumeibuka kada ya uchawa, sio wana CCM wote ni machawa!. CCM ina wanachama wake wengi tuu na makada ambao wametanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo kada mwenye hoja kama hizi
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
kumuita chawa sio kumtendea haki!.

Machawa wa CCM kwao 2025 wanaimba wimbo mmoja tuu, "Mama Mama...", ma kada very objective for national interest, tunamshauri Mama Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke chawa anaweza kutoa ushauri kama huu?.
P
 
Back
Top Bottom