Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

ccm watamkubalia??
 
Waziri kazi yake ya msingi ni kusimamia sera. Ni kiongozi wa kisiasa, ndio maana anakuwa mbunge vile vile.

Unless wanajitafakari na kuelewa kazi ya waziri ni ipi, ya makatibu wakuu, wakurugenzi wa idara, ma RC, RAS, etc, basi kila ripoti ya CAG itaendana na kubadilisha mawaziri....
 
Wizara nyeti zibahitaji mawaziri wazoefu na wa umri unaofaa sio hao wanaokimbizana na urais, wizara mpe Kabudi, Job Ndugai, yule waziri ardhi aliyeondoka(Sio Nabura) lkn wizara ukiwapa hawa vijana wenyewe ni tamaa tu za kuibia watanzania na dharau kibao.
 
Vipi sheria au habari akakaa P🤣
 
Jenista asiwepo kwenye wizara yoyote, aondoshwe mazima, yule ni hasara kwa Taifa.
Waziri kilaza na mzigo ktk wotee, Hafaiiiiii
 
Swali la nje ya mada ,hivi wakiteuliwa mawaziri wapya je serikali inawajibika kuwanunulia magari mapya? Gari la mwigulu halijamaliza hata miezi 7 toka amelipokea.
Gari binafsi au gari la waziri? Kama la binafsi itakuwa mkopo ambao ataendelea kulipa hata akiwa sio waziri. Gari la waziri ni mali ya umma.
 
Alianza Nyerere kuhakikisha hampewi madaraka,inaendelea Hadi Leo,mpaka mtakapostaarabika na kuacha ukabila,Kama ni chuki utajua wewe na wanywa mbege wenzio
Haa unamsingizia Nyerere. Nakumbuka enzi yake at one time wabunge karibu wote wa Kilimanjaro walikuwa mawaziri. (Siwakumbuki)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…