Wewe ni takataka kama taka zingine zisizojitambua!Anaongea kama anakunywa uji [emoji23][emoji23]
Kuchangia Mjadala sio sawa na kujibu hoja under pressure elewa Hilo we kilaza.
We kilaza huyo mgonjwa wako hawezi kuwa Waziri wa Fedha ,kwanza hajui siasa Wala kuongea.
Sidhani kama kutakuwa na baraza jipya la mawaziri maana Bunge letu hata likisimamia jambo dhidi ya serikali mwisho wake ni kurudi kupongeza serikali kwa ama kutokuteke maazimio yao au kuyatekeleza.Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.
Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.
Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!
Ni ushauri tu.
Paskali
Kwanini Mwigulu arudi Burundi, huyu sio Mrundi, ni Mnyiramba ila majina yake ni majina ya Kisukuma Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweliUpo sahihi sana hasa hapo kwenye fedha. Mwigulu arudi Burundi
Waziri wa fedha hapaswi kuwa mwanasiasa!, he has to be a professional only with numbers don't lie!.We kilaza huyo mgonjwa wako hawezi kuwa Waziri wa Fedha ,kwanza hajui siasa Wala kuongea.
Uwaziri sio zawadi.
Paskali, serikali si uwanja wa majaribioHuu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.
Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.
Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!
Ni ushauri tu.
Paskali
Hii nchi ina tatizo gani? Watu wake tumerogwa au! Badala ya kujadili hoja ya msingi kuhusu Madudu ambayo cag ameyaona, mnajadili nani atoke nani awekwe wapi...... Shida sana. Pesa zilizoliwa zinarudije? Waliokula fedha wanawajibishwa je?! Hayo ndiyo mambo ya msingi ambayo watu wanapaswa kujikita kuyajadili. Tunakomeshaje tabia hizi zilizokithiri za viongozi kuiba pesa za umma bila woga. Kama mambo hayo hayapatiwi ufumbuzi . Katika hali ya kawaida mtu alieiba mabilioni ya shilingi haoni shida hata kuachishwa kazi maana pesa aliyoiba atawekeza mahali ambapo itaendelea kumpa faida kisha yake yote. Mungu lisaidie taifa hili looooooooHuu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.
Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.
Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!
Ni ushauri tu.
Paskali
Maji hufuata mkondo, under the law of attraction, kuna makabila tofauti tofauti wana excel kwenye maeneo tofauti tofauti, wakimbiaji wazuri ni makabila ya wawindaji wa asili, kina Bayi, Nyambui, Ikangaa, etc, wachonga vinyago wazuri ni Wamakonde, kwenye bucha za nyama, Wagogo, makarani wazuri ni Nyasa, wafanyabiasha wazuri ni Wahindi, Waarabu na Wachagga, hivyo kwenye kazi za fedha fedha na maokoto Wachagga are the best. Kuna makabila tajiri na makabila masikini, ukimpa fedha tajiri zita multiply, ukimpa masikini utafilisika. Money attracts money!.Ni marufuku mchaga kupewa fedha
Mkuu Zama, hayo tumeisha yasema sana humu angalia watu tulianza lini kuripoti kuhusu ripoti ya CAGHii nchi ina tatizo gani? Watu wake tumerogwa au! Badala ya kujadili hoja ya msingi kuhusu Madudu ambayo cag ameyaona, mnajadili nani atoke nani awekwe wapi...... Shida sana. Pesa zilizoliwa zinarudije? Waliokula fedha wanawajibishwa je?! Hayo ndiyo mambo ya msingi ambayo watu wanapaswa kujikita kuyajadili. Tunakomeshaje tabia hizi zilizokithiri za viongozi kuiba pesa za umma bila woga. Kama mambo hayo hayapatiwi ufumbuzi . Katika hali ya kawaida mtu alieiba mabilioni ya shilingi haoni shida hata kuachishwa kazi maana pesa aliyoiba atawekeza mahali ambapo itaendelea kumpa faida kisha yake yote. Mungu lisaidie taifa hili loooooooo
Set a thief to catch a thief!.Mwanyika ni mwizi mzoefu,hafai kbs kushika nafasi yoyte ktk baraza la mawaziri,
Nakubaliana na wewe, ila walitwaliwa miongoni mwetu, watanzania wote without exceptional tuko kwenye level ya umaskini na ushahidi unaupta ukiona rais, waziri katibu mkuu anawaza kujenga nyumba. Kwenye Maslow Pyramid of need utaona shida yetu iko wapi- wengi tuko bado kidato cha chini kabisa, wachache wamefika kidato cha piliMkuu comte , majaribio ni kumpa hazina yetu masikini wa kutupa badala ya kumpa mtu wa kifedha fedha!.
P
Mkuu acha uwasi wewe..hahahaUpo sahihi sana hasa hapo kwenye fedha. Mwigulu arudi Burundi
Naunga mkono hojaHuu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.
Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.
Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!
Ni ushauri tu.
Paskali
Anatakiwa awe jela mkuuSet a thief to catch a thief!.
P
Hafai kuwa waziri wa fedha, kwa kigezo cha CRDB na uchaga wake.Waziri wa fedha hapaswi kuwa mwanasiasa!, he has to be a professional only with numbers don't lie!.
Ila pia Dr. Kimei, hana kigugumizi, anaongea vizuri tuu, hiyo ndio ongea ya Wachagga msikilize hapa
View: https://youtu.be/4Edy6B-GoeA?si=twMYnS02yglcgX9LP
Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika