Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation.
Hao wanaokushauri ushupaze shingo, ni kuwa wanatetea matumbo yao wakijua kuwa in your absence hawana vyeo hivyo walivyo navyo!
Historia ya mauaji ya Madikiteita wote from time immemorial, anabeba anayekuwa madarakani na si wasaidizi wako machawa akina Mwigulu, Kabudi, Nyàrandu na machawa wengine kama hao.
Hivyo usiwasikikize machawa.
Akili za kuambiwa changanya na zako.