Mustafa Mkulo bado yuko! Ulikuwa wakati wa Jakaya Kikwete alitoa waraka kuhusu misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini!
Aulizwe alifikia wapi na kwa nini hakufanya hivyo!
Hapa alielezwa mambo makuu yakiongozwa na
- Serikali inalo jukumu la kuendesha huduma za kijamii kisheria wengine wote "wanasaidia tu"
- Walimueleza kuwa wamekubaliana na suala la kuondolewa misamaha ya kodi na wanataka kutekeleza hili haraka sana!
-----ILa
- Serikali iondoe wataalamu wote wanaofanya kazi katika taasisi husika na vile vile iondoe wagonjwa/wanafunzi wote ili taasisi zijipange kujiendesha kibiasha haswa!
Mustafa akakimbilia kwa Jakaya na mpango ukasitishwa!. Wenzenu hawana shida na hilo!!!