TENA HASA NI KANISA KATOLIKI!!Hao Wabunge umewachomekea tu. Lengo lako kuu ni hizo taasisi za kidini.
Mustafa Mkulo bado yuko! Ulikuwa wakati wa Jakaya Kikwete alitoa waraka kuhusu misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini!
Aulizwe alifikia wapi na kwa nini hakufanya hivyo!
Hapa alielezwa mambo makuu yakiongozwa na
-----ILa
- Serikali inalo jukumu la kuendesha huduma za kijamii kisheria wengine wote "wanasaidia tu"
- Walimueleza kuwa wamekubaliana na suala la kuondolewa misamaha ya kodi na wanataka kutekeleza hili haraka sana!
- Serikali iondoe wataalamu wote wanaofanya kazi katika taasisi husika na vile vile iondoe wagonjwa/wanafunzi wote ili taasisi zijipange kujiendesha kibiasha haswa!
Mustafa akakimbilia kwa Jakaya na mpango ukasitishwa!. Wenzenu hawana shida na hilo!!!
Ilipigwa marufuku, haikukaa muda alipoingia wa kujimwambafai akairudisha, mara akaisimamisha, mara akairudisha akairudisha tena, ni ujinga tu.Mustafa Mkulo bado yuko! Ulikuwa wakati wa Jakaya Kikwete alitoa waraka kuhusu misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini!
Aulizwe alifikia wapi na kwa nini hakufanya hivyo!
Hapa alielezwa mambo makuu yakiongozwa na
-----ILa
- Serikali inalo jukumu la kuendesha huduma za kijamii kisheria wengine wote "wanasaidia tu"
- Walimueleza kuwa wamekubaliana na suala la kuondolewa misamaha ya kodi na wanataka kutekeleza hili haraka sana!
- Serikali iondoe wataalamu wote wanaofanya kazi katika taasisi husika na vile vile iondoe wagonjwa/wanafunzi wote ili taasisi zijipange kujiendesha kibiasha haswa!
Mustafa akakimbilia kwa Jakaya na mpango ukasitishwa!. Wenzenu hawana shida na hilo!!!
Mohamed Said fanya mpango kumuoa faiza foxy mke wa tatu maana wote ni wafia dini na wabaguzi mnatamani Tanzania wote wawe waislam . mshirikiane ili adhima yenu itimie.Mfyuu...
Nakusihi andika na toa hoja zako kwa lugha ya kiungwana.
Vinginevyo utauvuruga mjadala na utakuwa wa kutukanana.
Maalim Faiza bado hajafikia makamo ya kuwa Bi. Kizee.
Ukweli mchungu,na kwenye dini hapo analenga taasisi za KikristoHao Wabunge umewachomekea tu. Lengo lako kuu ni hizo taasisi za kidini.
Taasisi za dini hazina mchango wowote,jamii inazidi kua ovu tu,uzinzi,ulawiti, wizi,ufisadi....toka misamaha imeanza zinafika trillions,hawa watu wa dini wanyonyaji,hapo bado wanakula sadaka,zaka,fungu la kumi...hawali kwa jashoMimi naunga mkono kwenye kuondoa misamaha ya kodi kwa hao Wabunge. Ila siyo taasisi za kidini. Maana zina mchango mkubwa kwa serikali na wananchi kwa ujumla, kwenye utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii.
Wana Ile kasumba ya tukose woteNa taasisi hizo alizolenga niza kanisa mana upande wa pili ukiondoa madrasa wanabaki na misikiti so msamaha wa kodi uwepo usiwepo haunahasara kwao.
Kati ya Serikali na hizo taasisi za dini ni nani mwenye nguvu?Lakini serikali ilipoanza kujenga hospitali zake , Kanisa likaanza kulalamika kwa nini serikali inajenga hospitali katika mikoa ambapo tayari Kanisa lina hospitali.
Yaani Kanisa linataka serikali isitimize wajibu wake wa wa kujenga hospitali ila lenyewe ndo lidominate huduma ya afya huku serikali ikiwamwagia mabilioni ya ruzuku kila mwaka. Huu ni upendeleo wa wazi.
Kama kiongozi mmoja tu anaweza kufanya maamuzi mabovu kama hayo unayosema kafanya mwendazake, tuna tatizo kubwa zaidi kama nchi kuliko hiyo misamaha ya Kodi unayozungumzia.Hatutaki taasisi za "kidini" zote ziwe na misamaha ya kodi, wizi mtupu.
Pesa zikalipe madeni aliyotuwachiwa mwendazake, tunalambwa mahakama za kimataifa kila siku kwa ujinga wake yule jamaa.
Kapimwe akili.Hakuna huduma yoyote ya maana wanayotowa, hatuitaki, ife tu. Kwanini waliisimamisha kwanza, wakairudisha , wakisimamisha, wakairudisha Ujinga mtupu.
SERIKALI YAREJESHA MISAMAHA YA KODI TAASISI ZA DINI
Serikali imelegeza msimamo wake kuhusu kuondoa misamaha ya kodi kwenye Taasisi za dini badala yake itaongeza udhibiti ili kuzuia mianya...tec1956.blogspot.com
Haya madai yako ya kanisa kulalamika sijui kama una ushahidi nayo, itapendeza ukiuweka ili twende sawa..Lakini serikali ilipoanza kujenga hospitali zake , Kanisa likaanza kulalamika kwa nini serikali inajenga hospitali katika mikoa ambapo tayari Kanisa lina hospitali.
Yaani Kanisa linataka serikali isitimize wajibu wake wa wa kujenga hospitali ila lenyewe ndo lidominate huduma ya afya huku serikali ikiwamwagia mabilioni ya ruzuku kila mwaka. Huu ni upendeleo wa wazi.
tatizo la Tanzani ana SAfrika ni hili:Kama kiongozi mmoja tu anaweza kufanya maamuzi mabovu kama hayo unayosema kafanya mwendazake, tuna tatizo kubwa zaidi kama nchi kuliko hiyo misamaha ya Kodi unayozungumzia.
Chuma...Mohamed Said fanya mpango kumuoa faiza foxy mke wa tatu maana wote ni wafia dini na wabaguzi mnatamani Tanzania wote wawe waislam . mshirikiane ili adhima yenu itimie.
Hatutaki taasisi za "kidini" zote ziwe na misamaha ya kodi, wizi mtupu.
Pesa zikalipe madeni aliyotuwachiwa mwendazake, tunalambwa mahakama za kimataifa kila siku kwa ujinga wake yule jamaa.
Haya madai yako ya kanisa kulalamika sijui kama una ushahidi nayo, itapendeza ukiuweka ili twende sawa..
Lakini pia, pamoja na ushahidi wako kihitajika, bado kwangu hoja ya kanisa ina msingi, sioni haja kwanini serikali ikajenge pale ambapo huduma tayari inapatikana, wakati yapo maeneo mengine yasiyo na huduma, huo ulikuwa ujinga wa serikali.
Bibi ana nongwa mpaka basi.Ukweli mchungu,na kwenye dini hapo analenga taasisi za Kikristo
Duh! Siku zote nilijua Maalim ni wanaume tu, kama ilivyokuwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad! Kumbe hata akina mama nao wana sifa ya kuitwa Maalim!!!Mfyuu...
Nakusihi andika na toa hoja zako kwa lugha ya kiungwana.
Vinginevyo utauvuruga mjadala na utakuwa wa kutukanana.
Maalim Faiza bado hajafikia makamo ya kuwa Bi. Kizee.