Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
1,955
Reaction score
2,465
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
 
Ushauri wako upo general sana umewaza ndani ya boksi 😏😏
Mtu amemaliza Chuo, chap ameajiriwa mkoani, anajitegemea tayari amekosa sifa??
 
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA WEWE NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE
 
Ukifuata yote hayo huta oa
Kuoa ni sawa na kujivika mabomu
Unakaa unaamua kuoa unaoa

Mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele

Yaani ni sawa na kujitosa baharini kisha utajua kuogelea mbele kwa mbele kwenye safari yako ya kutoka Dar kwenda zanzibar

Hakuna mwanamke mkamilifu duniani hata mama zetu wanamapungufu
 
Back
Top Bottom