Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Labda kama wali date tu...
Lakini huyo manzi alishahojiwa akakiri Jay Z ndiye alitoa seal...

Akiwa 19 yrs miaka ya 2001 au 2002...
Kipindi anasema hivyo ,huyo mwamba alijitokeza akasema alisha toka nae kabla , labda ilikua ni kashfa tu🤔🤔🤔
 
There is no Universal rule inapokuja swala la kuchagua mwenza wa kumuoa, narudia tena there is no universal rule, hiki ulichokiandika ni insecurities zako tu na kushindwa kujiamini as a man, wahead, Man up, little boy, man up!
"I respect your opinion, but it's important to understand that everyone has the right to their own thoughts and feelings when it comes to choosing a life partner. There's no single correct way to approach this, and what works for one person may not work for another. Everyone has their own path to building relationships and a life, and it's not fair to judge someone for their opinions or feelings. Instead of attacking each other, let's try to understand and respect our differences
 
Ukifuata yote hayo huta oa
Kuoa ni sawa na kujivika mabomu
Unakaa unaamua kuoa unaoa

Mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele

Yaani ni sawa na kujitosa baharini kisha utajua kuogelea mbele kwa mbele kwenye safari yako ya kutoka Dar kwenda zanzibar

Hakuna mwanamke mkamilifu duniani hata mama zetu wanamapungufu
Hata mama zetu wana mapungufu.
 
Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?🤣🤣
Mwanaume akikataa kutafuta hela ktk mazingira fulani huyo ndiyo aonekane anaogopa changamoto lakini anayetafuta mke akamkataa binti anaeishi nje ya nyumba ya wazazi wake huyo haogopi changamoto anatafuta msingi bora wa familia yake.

Ni viwili tofauti hivi,kutafuta msingi bora wa familia (mama wa watoto wake) na kuogopa changamoto.
 
Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?🤣🤣
Hao waliopanga wenyewe ndio wazuri, anaishi maisha yake halisi bila kuigiza, tofauti na ambao Bado wako nyumbani huwez kumjua tabia zake halisi kwasababu yuko chini ya wazazi.
 
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Ndio maana kuna kitu kinatwa uchumba. One point watu wanasahau ni kuchunguza familia ya alipotokea mwenzie, the way wazaz wa muhusika wanavyo ishi ndivyo atakavyoishinna ww
 
Na kwanini zichelewe? Sogea tukae nikikufia ndani utaambia nini jamii?
ili mfahamiane vizuri, miezi kadhaa inatosha kumuamini mtu kweli?
sherehe zinafurahisha watu tu, halafu mkishafunga harusi inakuwa ngumu kuachana

kwani depoo hata kama nikikuoa, ukafa kwenye mazingira ya kutatanisha unadhani sitokisiwa?

na nikisema uchumba sugu simaanishi nakutorosha kwenu hamna, nyumbani lazima wajue ulipo

mimi zile stori za watu wanafunga ndoa washalea, wana watoto wakubwa zinanikosha sana
 
Ukifuata yote hayo huta oa
Kuoa ni sawa na kujivika
mabomu
Unakaa unaamua kuoa unaoa

Mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele

Yaani ni sawa na kujitosa baharini kisha utajua kuogelea mbele kwa mbele
kwenye safari yako ya kutoka Dar kwenda zanzibar

Hakuna mwanamke mkamilifu duniani hata mama zetu wanamapungufu
Kuoa siyo vita bruh,unajua kwanini ndoa nyingi sana za vijana siku hizi zinawashinda?

Ni kupuuzia viji-sign vidogo vidogo sana wanavyoviona vya kawaida mwanzo wa mahusiano yao,bint unamkuta anaishi kwake huyu ana access ya maisha yake yeye anaamua leo arudi kulala kwake au kulala anakojua mwenyewe,anywe pombe gani kama K-vant au Sungura,avute nini kama Shisha au bangi au sigara gani kama Kali Embassy au SM huyu mkishaingia ktk ndoa akaanza kuonyesha asili yake ya matumizi ya hivyo vitu hapo juu kijana hatoboi.

Anaeishi na wazazi anapangiwa kila kitu muda wa kurudi muda wa kutoka,anaenda wapi kufanya nini na nani hawa wawili kwa mwenye akili anajua yupi smart hata kama wote ni wachafu atajua nani mchafu zaidi.
 
Back
Top Bottom