Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

ili mfahamiane vizuri, miezi kadhaa inatosha kumuamini mtu kweli?
sherehe zinafurahisha watu tu, halafu mkishafunga harusi inakuwa ngumu kuachana
Moyo wa mtu kichaka pia. Unaweza kaa na mtu for years na akakupa tukio zito tu.. au akaficha tabia flani.

Uchumba sugu pia sio guarantee. Muhimu pendo la dhati & urafiki
 
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Hayanaga formula.
 
Moyo wa mtu kichaka pia. Unaweza kaa na mtu for years na akakupa tukio zito tu.. au akaficha tabia flani.

Uchumba sugu pia sio guarantee. Muhimu pendo la dhati & urafiki
mimi sasa napenda kuthibitisha kila kitu

yale mapenzi ya 'I'll take a bullet for you'

movie zinaniharibu😅
 
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."

Wote tu Malaya Mbwa!!!! Bila Mungu na uaminifu na kanuni za Kimungu ndo is impossible!
 
Screenshot_20240804-163641.jpg
 
There is no Universal rule inapokuja swala la kuchagua mwenza wa kumuoa, narudia tena there is no universal rule, hiki ulichokiandika ni insecurities zako tu na kushindwa kujiamini as a man, wahead, Man up, little boy, man up!
Nakazia
 
Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?🤣🤣
Yani hii ndio reality ya wanaume wa sasa, Kila kikwazo wanachoweka kwa wanawake ni kulinda inequities zao, tuna kizazi Cha wanaume waoga sana inatia shaka.
 
Hao waliopanga wenyewe ndio wazuri, anaishi maisha yake halisi bila kuigiza, tofauti na ambao Bado wako nyumbani huwez kumjua tabia zake halisi kwasababu yuko chini ya wazazi.
Waache wajichanganye. Nina wapenzi wawili, mmoja anaishi karibu na kanisani kwetu na yeye na kanisa ni kama polisi na rushwa. Ni mtu wa kanisa vibaya mno.

Alikuwa ameajiriwa sehemu ana jeuri na ubabe kama nini, baadae akafanya makosa akaachishwa kazi. Huyo kutoka kwao mpaka simu ipigwe, kazini akifika taarifa inatolewa na akitoka taarifa inatolewa. Yuko monitored kila mwenendo wake, kutoka nyumbani anasindikizwa. Baadae nikadadisi kwanini analindwa hivi kumbe aliwahi toa mimba akawaaibisha familia na akasimamisha masomo.

Analindwa sana maana hajui kujilinda. Aliposimamishwa kazi jeuri na ubabe akaacha, namsikitikia atakayemuoa akimkuta hali hii isiyo ya uhalisia akidhani amemkuta kwao ni mpole.

Upande mwingine, ninae ambaye halindwi wala hachungwi kabisa ila nimemkuta sealed. Huyu hata nimuache au aniache atakayemuoa atapata jiko la maana. Huyu anaishi kwenye uhalisia, hana mambo mengi, hafeki kitu.
 
Back
Top Bottom