Ni kweli ni ushauri ila hata wangu ni ushauri pia😁😁😁ndio maana nimesema ni ushauri sio lazima ukubali unaweza ukajaribu kwanza🤣
Lakini jay z ndiye alimtoa bikira huyo beyonce..Ila Beyonce nadhani alikuwa anaishi kwake kabla Jay z hajamuoa.
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA WEWE NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Si kweli, Beyonce alishakuwa na wanaume wengine kablaLakini jay z ndiye alimtoa bikira huyo beyonce..
Sio mikoani tu siku hizi watu wanatoka nnje kusaka maisha kwa kasi.Ushauri wako upo general sana umewaza ndani ya boksi 😏😏
Mtu amemaliza Chuo, chap ameajiriwa mkoani, anajitegemea tayari amekosa sifa??
Sawa.Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?🤣🤣