Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

Telling men to go after unambitious women.. wanaume wa siku hzi tunaogopa sana changamoto..yani ukatae mke kisa ulimkuta kwake?🤣🤣
Sasa ambitions gani izo zitamzuia mwanamke kushindwa kukaa kwa wazazi wake? Mwanamke anatakiwa kubaki kwa wazazi wake mpaka atakapoolewa vinginevyo awe anafanya kazi zake mbali na mji, wanawake wa geto hawafahi
 
There is no Universal rule inapokuja swala la kuchagua mwenza wa kumuoa, narudia tena there is no universal rule, hiki ulichokiandika ni insecurities zako tu na kushindwa kujiamini as a man, wahead, Man up, little boy, man up!
Ulichokiandika ni excuse tu ya simps na wanawake wenye past chafu. Hakuna ambacho hakina formula hapa duniani ndio maana hata wewe hauwezi kwenda pale riverside kwa wale makahaba kutafuta mke kwa kisingizio mapenzi hayana muongozo.

Tumia logic+dhibiti hisia zako.. huo ndio muongozo kwa mwanaume linapokuja suala la kuchagua mke.
 
Ukifuata yote hayo huta oa
Kuoa ni sawa na kujivika mabomu
Unakaa unaamua kuoa unaoa

Mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele

Yaani ni sawa na kujitosa baharini kisha utajua kuogelea mbele kwa mbele kwenye safari yako ya kutoka Dar kwenda zanzibar

Hakuna mwanamke mkamilifu duniani hata mama zetu wanamapungufu
Hakuna mkamilifu lakini angalao kuna misingi lazima uizingatie.
 
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Lete mkasa huo ilikuaje
 
Vipi kwa sisi wazee ambao bado hatujaoa, ushauri wako ni upi kwetu?
 
Vipi kwa sisi wazee ambao bado hatujaoa, ushauri wako ni upi kwetu?
Kama bado hujaoa, usikimbilie kuoa hasa hasa usioe mwanamke anaeshi geto usije kujuta baade. Kila kitu kina wakati wake, na ni muhimu kuchagua mwenzi sahihi kwa maisha ya baadaye. Chukua muda kumjua mpenzi wako vizuri, usifanye maamuzi kwa pupa, na hakikisha kuwa upo tayari kiakili, kihisia, na kifedha kabla ya kuchukua hatua hiyo muhimu. Ndoa ni jambo la kudumu, hivyo ni bora kusubiri na kufanya uamuzi sahihi kuliko kujuta baadaye."
 
Mimi na weza sema kama bado hauja oa hakikisha nasema zingatia hili hakikisha umejitafuta sana tena HASWA mapenzi ya kusema mta tafuta wote yalikuwa zamani, mapenzi ya kusema tumetoka mbali wakati haoni maendeleo ipo siku utakuja na story yako hapa. Ukisha jipata vizuri mapenzi mara nyingi uta enjoy karne zime badilika upepo umebadilika someni alama za nyakati, walio baki na mapenzi ya kweli wachache sana. Fanya furaha yako kwenye mishe zingine sio mapenzi
 
Hakuna formular iliyothibitishwa ya kupada mke bora kuna watu wameokotana Club kwenye amapiano na wakadumu na kuna watu wakakutana kanisani ila ndani hapakariki na wameachana.
 
Hiyo sio sababu ya kupata mwenza sahihi sema ni sehemu tu , afu changamoto za ndoa sio usaliti wa kingono pekee, kuna mwanamke unamkuta nyumbani, bikra lakini anawaza umuoe akutawale sababu ndio kakuzwa hivyo, amekuwa akiona baba anaongozwa na mama nyumbani, ukimuoa huyu inakuua ndani kwa ndani, unaisha mazima.
 
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.

Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
😂😂
 
Back
Top Bottom