Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Sadly ndani ya ccm wale wenye nguvu hakuna mwenye wazo hili,wanachotaka wao ni apatikane dhaifu na mbovu hata zaidi ya huyu ili wao na wa karibu yao wanufaike zaidi.Samuya ndiye rais too low kututawala na haitojirudia kosa milele!.
1. Magufuli alikuwa sahihi sana kutokuajiri kwa sababu watu wengi hawafanyi kazi ni uzembe tu maofisini, mbona kazi hazikusimama? kihalali inatakiwa wafanyakazi zaidi ya laki 2 wastaafishwe serikalini hawana kazi, mfano afisa misitu ilala ana kazi gani? afisa umwagiliaji temeke ilala kuna miradi gani? afisa nyuki? ubungo ina maafisa mifugo 28 hawa wanafanya kazi gani?Hello!
Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi.
Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye ajira ya serikali, ajira rasmi sekta binafsi au unakuwa na ofisi Yako ya kudumu yenye kukuingizia kipaeto cha uhakika kila siku.
Kama mna wadogo zenu wahamasisheni wasomee kozi fupi za uhandisi na udaktari, madini na zingine. Hii ni kwa familia za tia maji tia maji.
Lengo ni kwamba Samia akitoka akuache kwenye system, ukienda JKT kwa mujibu wa Sheria ingia JWTZ kabisa maana njia inakuwa nyeupe ukisema tarudi nikimaliza degree imekula kwako.
Kuna hatari 2030 atapatikana Rais mwenye sera za Magufuli. Uwezekano huu ni mkubwa sana.
Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi hakuweza kuajiri watumishi wa umma angalau 5000. Hakuweza kabisa
Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi aliweza kuua ajira rasmi sekta binafsi kwa wingi sana. Rais Magufuli aliweza kuua biashara na kampuni ndogo ndogo bila sababu za msingi. Nami nilikuwa mhanga.
Kijana soma hata kozi fupi uingie kwenye system mambo mengine yatakaa sawa mbele. Kuna mtu atakuja kufuta maono yote mazuri ya Samia na kusimamisha kila kitu eti anaanza upya.
Atakuja mtu na sera ya serikali ya viwanda lakini ndiye muuaji wa viwanda na mtamshangilia.
Umri haurudi nyuma, hebu nenda kwenye kioo angalia sura yako uone unavyozeeka mdogo mdogo.
1. Magufuli alikuwa sahihi sana kutokuajiri kwa sababu watu wengi hawafanyi kazi ni uzembe tu maofisini, mbona kazi hazikusimama? kihalali inatakiwa wafanyakazi zaidi ya laki 2 wastaafishwe serikalini hawana kazi, mfano afisa misitu ilala ana kazi gani? afisa umwagiliaji temeke ilala kuna miradi gani? afisa nyuki? ubungo ina maafisa mifugo 28 hawa wanafanya kazi gani?
2. Bishara za wahuni ndo zilikufa biashara halali hazikufa ila hela za hovyo hovyo ndo zilipungua
Hatutegemeia hisani ya rais yoyote bali juhudi zetu. Nyie machawa ndio inabidi mtafute sehemu ya kujibanza maana mnategemea zaidi hisani za viongozi.Hello!
Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi.
Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye ajira ya serikali, ajira rasmi sekta binafsi au unakuwa na ofisi Yako ya kudumu yenye kukuingizia kipaeto cha uhakika kila siku.
Kama mna wadogo zenu wahamasisheni wasomee kozi fupi za uhandisi na udaktari, madini na zingine. Hii ni kwa familia za tia maji tia maji.
Lengo ni kwamba Samia akitoka akuache kwenye system, ukienda JKT kwa mujibu wa Sheria ingia JWTZ kabisa maana njia inakuwa nyeupe ukisema tarudi nikimaliza degree imekula kwako.
Kuna hatari 2030 atapatikana Rais mwenye sera za Magufuli. Uwezekano huu ni mkubwa sana.
Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi hakuweza kuajiri watumishi wa umma angalau 5000. Hakuweza kabisa
Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi aliweza kuua ajira rasmi sekta binafsi kwa wingi sana. Rais Magufuli aliweza kuua biashara na kampuni ndogo ndogo bila sababu za msingi. Nami nilikuwa mhanga.
Kijana soma hata kozi fupi uingie kwenye system mambo mengine yatakaa sawa mbele. Kuna mtu atakuja kufuta maono yote mazuri ya Samia na kusimamisha kila kitu eti anaanza upya.
Atakuja mtu na sera ya serikali ya viwanda lakini ndiye muuaji wa viwanda na mtamshangilia.
Umri haurudi nyuma, hebu nenda kwenye kioo angalia sura yako uone unavyozeeka mdogo mdogo.
hawa wajinga hawaambiliki.Ushauri murua kabisa...mwenye macho haambiwi tazama