Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hapo hata chumba kimoja hakijaisha😂😂150 nyumba ya kuishi, kijana wa kihindi anapanga then milioni 150 anaitupia kwenye biashara inazunguka, then mnakuja kulalamika eti Wahindi kwann washikilie uchumi wa nchi.
Na anasema katumia 150m ilihal matifali bado yako uchi, bado ana safari ndefu halaf anashauri ujengee mshahara sijui, huo ni ushauri wake na sio lazima kuuchukua.Akili za vijana wengi ni za kijinga kabisa. Yaani unakopa au unasave 150 ml ili ujenge ghorofa la kuishi ambalo pia Halijaisha. Kujenga ni uwoga wa Maisha. Kula Bata , ishi nyumba nzuri ya kupanga, lakini tafta eneo zuri Jenga apartments zako ,utaishi kama mfalme. Uishi kwenye ghorofa umekuwa popo,
Unajenga hotelHapo hata chumba kimoja hakijaisha😂😂
Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako.
View attachment 2486913
View attachment 2486914
View attachment 2486916
Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa hapo kinachofuata ni kipato chako ndio kimalizie mjengo .
Sasa kama ulikopa 100 mil ukaamua kujenga ghorofa alafu pesa inakata utajikuta pabaya sana maana benk wanakudai payment na nyumba inahitaji pesa kuendelea. Mimi wakati naanza kujenga nilikuwa na milioni 150 yote ili kwisha na nyumba bado sana sasa hivi natumia mshahara wangu kujenga .
It’s not easy lakini na make progress kubwa kila mwezi . Nondo ni hatari sana especially Kwa ghorofa . So jenga kulingana na kipato sio saving amount. Hapo ndio nimefikia sasa nilianza miezi mitano nyuma . Na natarajia kumwaga zege ya mwisho weekend ijayo.
Form 1 ,form 2 mpaka 4 unatulia zako🤣🤣Najenga room moja moja sitaki stress
Nipo na kazi nzuri bro nyumba si unaona inaendelea hizo nondo wamemaliza kusuka j4 iliyopita weekend hii namwaga zege mpaka huu mwaka unaisha itakuwa imeisha. Kama umesoma maelezo yangu nilisema angalia kipato chako sio ela iliyokuwa bank nilizingatia hiloYaani mkuu ulikuwa na 150mil tu halafu ukaona kabisa unajenga nyumba hiyo na kuimaliza?
Anyway penye nia pana njia, Mungu akufanikishe kufikia azma yako...
Bro niko vizuri sana 5 to 6 millions kila week hiyo nyumba kazi zinafanyika kila week itakwisha next Monday nitaposti zege limeshamwagwaNdio shoda ya pesa za kupiga hizo
Nunua miwani hizo ni 12 mm na 16 mmMbona kama naona wavu za madirisha ndio zinageuka nondo za slab?
This is strange....kwanini usiweke nondo?
😀😀😀 duuuuuHapo ajiandae kukatika kama sio Milioni mia tatu na hamsini basi mia nne.
Nitajenga hadi na retire hapo lol😀😀😀 duuuuu
ok asanteSio lazima nitanfazie umma sina ulimbukeni kama wako
Nimesema jenga kutokana na kipato chako kama ni biashara Au mshahara it doesn’t matter…. Pili don’t worry about me .I’m not stupid nilipoamua kutumia hiyo ela kwenye ujenzi nilijua haiwezi kutosha bali itaweza kukamilisha at least 80 percent ya structure works still kutakuwa na pesa inahitajika kumalizia structure na pia upande wa finishing . Natumia about 9 to 10 mil kwenye nyumba kila mwezi itakwisha tu. Na pia sikukopa popote I work hard and I get paid very wellNa anasema katumia 150m ilihal matifali bado yako uchi, bado ana safari ndefu halaf anashauri ujengee mshahara sijui, huo ni ushauri wake na sio lazima kuuchukua.
Jengea asilimia fulani ya faida ya biashara au project yako.
Kituo kikuu
Hongera kiongozi mwanzo mzuri na mm mwezi wa 8 hivi naanza kazi
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile ap