Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

150 nyumba ya kuishi, kijana wa kihindi anapanga then milioni 150 anaitupia kwenye biashara inazunguka, then mnakuja kulalamika eti Wahindi kwann washikilie uchumi wa nchi.
Hapo hata chumba kimoja hakijaisha😂😂
 
Akili za vijana wengi ni za kijinga kabisa. Yaani unakopa au unasave 150 ml ili ujenge ghorofa la kuishi ambalo pia Halijaisha. Kujenga ni uwoga wa Maisha. Kula Bata , ishi nyumba nzuri ya kupanga, lakini tafta eneo zuri Jenga apartments zako ,utaishi kama mfalme. Uishi kwenye ghorofa umekuwa popo,
 
Na anasema katumia 150m ilihal matifali bado yako uchi, bado ana safari ndefu halaf anashauri ujengee mshahara sijui, huo ni ushauri wake na sio lazima kuuchukua.

Jengea asilimia fulani ya faida ya biashara au project yako.

Kituo kikuu
 
Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako.
View attachment 2486913
View attachment 2486914
View attachment 2486916

Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa hapo kinachofuata ni kipato chako ndio kimalizie mjengo .

Sasa kama ulikopa 100 mil ukaamua kujenga ghorofa alafu pesa inakata utajikuta pabaya sana maana benk wanakudai payment na nyumba inahitaji pesa kuendelea. Mimi wakati naanza kujenga nilikuwa na milioni 150 yote ili kwisha na nyumba bado sana sasa hivi natumia mshahara wangu kujenga .

It’s not easy lakini na make progress kubwa kila mwezi . Nondo ni hatari sana especially Kwa ghorofa . So jenga kulingana na kipato sio saving amount. Hapo ndio nimefikia sasa nilianza miezi mitano nyuma . Na natarajia kumwaga zege ya mwisho weekend ijayo.

Maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua

Hongera kwa hatua uliyofikia, nguvu inaitajika zaidi kuweza kumaliza.

Kwa design ya nyumba ya kisasa hivyo, unaitaji 150 to 200M zaidi kuweza kumaliza. Kila la Kheri kwenye safari yako.
 
Yaani mkuu ulikuwa na 150mil tu halafu ukaona kabisa unajenga nyumba hiyo na kuimaliza?

Anyway penye nia pana njia, Mungu akufanikishe kufikia azma yako...
 
Yaani mkuu ulikuwa na 150mil tu halafu ukaona kabisa unajenga nyumba hiyo na kuimaliza?

Anyway penye nia pana njia, Mungu akufanikishe kufikia azma yako...
Nipo na kazi nzuri bro nyumba si unaona inaendelea hizo nondo wamemaliza kusuka j4 iliyopita weekend hii namwaga zege mpaka huu mwaka unaisha itakuwa imeisha. Kama umesoma maelezo yangu nilisema angalia kipato chako sio ela iliyokuwa bank nilizingatia hilo
 
Kama siyo mtaalam unaweza kufikiri unapewa ushauri wa ujenzi
 
Na anasema katumia 150m ilihal matifali bado yako uchi, bado ana safari ndefu halaf anashauri ujengee mshahara sijui, huo ni ushauri wake na sio lazima kuuchukua.

Jengea asilimia fulani ya faida ya biashara au project yako.

Kituo kikuu
Nimesema jenga kutokana na kipato chako kama ni biashara Au mshahara it doesn’t matter…. Pili don’t worry about me .I’m not stupid nilipoamua kutumia hiyo ela kwenye ujenzi nilijua haiwezi kutosha bali itaweza kukamilisha at least 80 percent ya structure works still kutakuwa na pesa inahitajika kumalizia structure na pia upande wa finishing . Natumia about 9 to 10 mil kwenye nyumba kila mwezi itakwisha tu. Na pia sikukopa popote I work hard and I get paid very well
 
Mandela alisema “ It’s always seems impossible until it’s done “. Acha watu waendelee kusema haiwezekani wewe anza tu nothing is impossible 👏🏿👏🏿
 
Back
Top Bottom