Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mshua ulijuaje?Navaa miwani bwanaNunua miwani hizo ni 12 mm na 16 mm
Hiyo ipo register kwenye gov plan viwanja vyote kule vimepimwa na vita hati milikiMshua ulijuaje?Navaa miwani bwana
Nimecheck kwa makini ni kweli nondo,nili overlook
Ila hongera mshua,gorofa si kitoto....majamaa wengi wanajenga za chini tu tena watu wakubwa,gorofa ni another level.
Sasa jipange finishing,hapo ni hiyo 150mil mara 3 ,tunasemea 450mil apart from 150mil ya mwanzo....!
Eneo gani mzee umejengea hii maneno?
Iwe plot surveyed with documaa,hii mambo ya documaa ya katibu kata Uswahili ndio unapoanzia
Unadhani inaweza cost kiasi gani?Tulisha sema kukenga no yoga wa maisha. Full Stop
Na kama moaka hapo ulipofikia umetumia 150M umepigwa sana.
Huko mbali Sana , around 30 million kiota kimekamilika kabisa 😁😁 , labda nipate pesa za kuokota tenaHongera Sana mkuu. Binafsi sitojenga nyumba ya gharama Zaidi ya 100m
Daah biashara Mzee ina mauza uza kibao , kuiweka hyo 150 kwenye biashara na ikapotea yote ni kugusa tuu, sio wote wanaweza risk hyo hela kwenye biashara na wakatoboa ....!! Hao wahindi wanakuwaga na background ya biashara karbia miaka 30 before , babu , Baba wote wamefanya so ni easy wao kutrack150 nyumba ya kuishi, kijana wa kihindi anapanga then milioni 150 anaitupia kwenye biashara inazunguka, then mnakuja kulalamika eti Wahindi kwann washikilie uchumi wa nchi.
Mwendo wa matoleo au sio?Najenga room moja moja sitaki stress
😅😅😅😅🖖🏾Pia hiyo 30m inaweza kuwa kubwa kulingana na location.Huko mbali Sana , around 30 million kiota kimekamilika kabisa 😁😁 , labda nipate pesa za kuokota tena
Kumbe ume-register kwenye govnt plan?Hiyo ipo register kwenye gov plan viwanja vyote kule vimepimwa na vita hati miliki
Nipo na na kiwanja na hati ya wizara it’s all good bro hivyo sio viwanja vya uswazi nimenunua toka watu maharufu sanaKumbe ume-register kwenye govnt plan?
Nilijua una gamba OG
Ndio maana mtu hata kama ana nyumba ya chini Mbweni is more happier than a gorofa uswahilini...
Hapo thamani ya "neighborhood" inapoingia.
Anaelelea watoto Masaki au Mbweni ni tofauti na anaelelea watoto Tabata Kisukuru au Goba,etc!
Thats the difference
Kiwanja kina number na hati ya wizaraNipo na na kiwanja na hati ya wizara it’s all good bro hivyo sio viwanja vya uswazi nimenunua toka watu maharufu sana
Hati ya nini sasa? Una mpango wa kuwauzia benki hiyo nyumba?Kiwanja kina number na hati ya wizara
Na ni bora upoteze pesa kwenye starehe utoumia kuliko kupotea kwenye biashara itakuuma sanaDaah biashara Mzee ina mauza uza kibao , kuiweka hyo 150 kwenye biashara na ikapotea yote ni kugusa tuu, sio wote wanaweza risk hyo hela kwenye biashara na wakatoboa ....!! Hao wahindi wanakuwaga na background ya biashara karbia miaka 30 before , babu , Baba wote wamefanya so ni easy wao kutrack
Tatizo eneo,neighborhood ndio inaweza kua imechoka!Nipo na na kiwanja na hati ya wizara it’s all good bro hivyo sio viwanja vya uswazi nimenunua toka watu maharufu sana