Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

Nunua miwani hizo ni 12 mm na 16 mm
Mshua ulijuaje?Navaa miwani bwana

Nimecheck kwa makini ni kweli nondo,nili overlook

Ila hongera mshua,gorofa si kitoto....majamaa wengi wanajenga za chini tu tena watu wakubwa,gorofa ni another level.

Sasa jipange finishing,hapo ni hiyo 150mil mara 3 ,tunasemea 450mil apart from 150mil ya mwanzo....!

Eneo gani mzee umejengea hii maneno?

Iwe plot surveyed with documaa,hii mambo ya documaa ya katibu kata Uswahili ndio unapoanzia
 
Hiyo ipo register kwenye gov plan viwanja vyote kule vimepimwa na vita hati miliki
 
Pole na Hongera. Mimi imenisaidia kupunguza cost kwa sababu mimi ndio 'injinia mwenyewe' na ramani nimechora mwenyewe.
Kwenye labor nakodi foreman ambaye anakuja na vijana wake, wanapiga kazi.
 
150 nyumba ya kuishi, kijana wa kihindi anapanga then milioni 150 anaitupia kwenye biashara inazunguka, then mnakuja kulalamika eti Wahindi kwann washikilie uchumi wa nchi.
Daah biashara Mzee ina mauza uza kibao , kuiweka hyo 150 kwenye biashara na ikapotea yote ni kugusa tuu, sio wote wanaweza risk hyo hela kwenye biashara na wakatoboa ....!! Hao wahindi wanakuwaga na background ya biashara karbia miaka 30 before , babu , Baba wote wamefanya so ni easy wao kutrack
 
Hiyo ipo register kwenye gov plan viwanja vyote kule vimepimwa na vita hati miliki
Kumbe ume-register kwenye govnt plan?

Nilijua una gamba OG

Ndio maana mtu hata kama ana nyumba ya chini Mbweni is more happier than a gorofa uswahilini...

Hapo thamani ya "neighborhood" inapoingia.

Anaelelea watoto Masaki au Mbweni ni tofauti na anaelelea watoto Tabata Kisukuru au Goba,etc!

Thats the difference
 
Nipo na na kiwanja na hati ya wizara it’s all good bro hivyo sio viwanja vya uswazi nimenunua toka watu maharufu sana
 
Daah biashara Mzee ina mauza uza kibao , kuiweka hyo 150 kwenye biashara na ikapotea yote ni kugusa tuu, sio wote wanaweza risk hyo hela kwenye biashara na wakatoboa ....!! Hao wahindi wanakuwaga na background ya biashara karbia miaka 30 before , babu , Baba wote wamefanya so ni easy wao kutrack
Na ni bora upoteze pesa kwenye starehe utoumia kuliko kupotea kwenye biashara itakuuma sana
 
Kwa 150m ni nyumba 4 standard tu ila Kila mtu ana dream zake
 
Yan hata kwa 150 hapo nashangaa umewezaje kufika.ngoma bado mbich sana hapo.atleast uwe na 100 nyingine ili ifike hata level ya kuingia na finishing utamaliza kidogo kidoogo
 
Nipo na na kiwanja na hati ya wizara it’s all good bro hivyo sio viwanja vya uswazi nimenunua toka watu maharufu sana
Tatizo eneo,neighborhood ndio inaweza kua imechoka!

Unasema mpo kwenye government plan,mara leo unasema una document ya wizara OG,which is which sir?

Kuna mitaa ukitaja jina tu people keep quiet,hiyo ndio inafaa ujenge gorofa la life time kama hilo,ila mitaa ya unapita inabidi usimame mwenzako apite kwanza ni wastage of resources!
 
  • Thanks
Reactions: 365
Back
Top Bottom