Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mshua ulijuaje?Navaa miwani bwanaNunua miwani hizo ni 12 mm na 16 mm
Nimecheck kwa makini ni kweli nondo,nili overlook
Ila hongera mshua,gorofa si kitoto....majamaa wengi wanajenga za chini tu tena watu wakubwa,gorofa ni another level.
Sasa jipange finishing,hapo ni hiyo 150mil mara 3 ,tunasemea 450mil apart from 150mil ya mwanzo....!
Eneo gani mzee umejengea hii maneno?
Iwe plot surveyed with documaa,hii mambo ya documaa ya katibu kata Uswahili ndio unapoanzia