Ushauri kwa viongozi wa serikali au watu wengine wanaosapoti au kushiriki kufanya maovu chini ya hii regime haramu

Ushauri kwa viongozi wa serikali au watu wengine wanaosapoti au kushiriki kufanya maovu chini ya hii regime haramu

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika.

Regime mpya inayokuja nauhakika itawachukulia hatua watu wote walioshiriki kufanya maovu kama utekaji unaendelea,mauaji, ufisadi kukandamiza wapinzani Nk ili kujenga Tanzania mpya ambayo haina makovu.


Ushauri wangu kwa viongozi au maafisa wote msikubali kushiriki kufanya maovu kwa sababu utawala huu muda wake umeisha na unaenda kuanguka na utavuna ulichopanda utawala mpya ukija.

Mfano viongozi/maafisa wa sehemu mbalimbali kama vyombo vya usalama,mahakama msajili wa vyama vya siasa na viongozi wa serikali wenyewe ifunzeni kwa wale wa serikali ya Magufuli.
 
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Back
Top Bottom