Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

Mtu atoe katiba ya Kumfunga jela au kufilisi mali zake never Katiba ya kuwaweka nje na mfumo maisha sio marahsi katiba itapatikana kuomba angalia nchi zilizobadili katiba angalau Kenya hapo
 
Atakumbukwa kwa mauaji daima
 
Uncle, kama kweli huyo mama yako ana nia njema na hii nchi basi mshauri ajiondoe kwenye hiyo nafasi, na hivyo kuruhusu mchakato mpya wa kumpata kiongozi sahihi wa wananchi! Na siyo kiongozi wa vyombo vya dola. Na hapa nina sababu mbili kuu;
1. Hakufuata utaratibu sahihi wa kuteuliwa kwake ndani ya chama.
2. Hakushinda kihalali tarehe 29 Oktoba.
 

Ujinga umekuwa sifa kwa machawa!!!. Raisi ambaye anafunga wapinzani bila sababu, ambaye ana wazuia wengine wasigombee, serikali yake inateka, serikali inaua vijana, serikali inafunga mitandao, serikali imejaa rushwa wewe unasema ana Nia Njema!. Inabidi utupe Pin ya kwako tutume vijana waje kukusalimia
 
Unajua kwanini hutaki kurejea ukweli wa huko nyuma kwenye hii hoja yako ya sasa, jibu ni kuwa unajua hiki alichosema huyu muuaji ni utapeli, na huko tayari kupambana na ukweli wenye rejea za huko nyuma. Inshort unadhani bado watu ni wajinga.
 

Takataka tu ukichoandika wewe chawa!
 
Kanye huko tumkumbuke kwa lipi ?the worst president Jiwe alikuwa namna moja kwangu ila huyu kwangu ndiye mbuzi[got]katika ushuzi na siwezi msahau milele
 
Zamani nilikua sijui kama kuna watu tahira (cretin) kama wewe. Mwilapwa haaaa! Karlo hata wewe? Si ungeenda isimani au Dabaga au kwenu kiwele kulima mahindi tu? Unaibisha watu hapaaa! Toa laana yako hapa.
 
Tanganyika kwanza
Usituletee hadithi za abunuasi
Mtanganyika jitambue
 
Dhamiri njema kuuwa ndugu zetu
 
Vyama gani Rais haelewani navyo? Vyama vyote 16 alivyoshindana navyo vilikubali matokeo na uapisho vilishiriki.
Rais hana shida na vyama vya siasa wala wanasiasa wa Tanzania.
 
Iwapo ilikuwepo nia njema,kuanzia enzi za 4r's zisingetekelezwa kisanii na tusingefika tulipo fika na sasa imeundwa tume ya kisanii baada ya uchafuzi wa kisanii,uliopelekea mauaji ya halaiki yanayojaribu kufichwa!Tena mwache uchochezi chochote kitakacho tokea kwa mara nyingine ni kutokana na huu ujinga mnao wafanyia Watanzania.
 
Mtu hawi kiongozi kwa jicho la tatu au dhamira xake za rohoni, bali kwa uwezo wake wa kuongoza na nia ya kupambana na changamoto za wananchi. Hilo jicho la ndani ni la kwake...alitumie anavyotaka, sisi tunataka matokeo tu na uwajibikaji.
 
Aisome hii Samia Suluhu Hassan na Tume yake
Mshindi wa Tuzo ya Nobel Martti Ahtisaari, ya Upatanishi / Maridhiano aoanisha vigezo vya pande mbili kuweza kufika katika meza ya mazungumzo

View: https://m.youtube.com/watch?v=-R9wFryp3CU
  1. mdhulumaji kukubali amedhulumu upande anaotaka kufanya naye mazungumzo
  2. Mdhulumu awe msikivu kusikiliza maovu aliyoyatenda kwa wadhulumiwa
  3. Kusikuwepo na jeuri kuwa mimi ni mtawala, hivyo pande mbili za mdhulumaji na mdhulumiwa wajisikie wana hadhi sawa ktk mazungumzo
  4. Mdhulumaji asiwe anachenga au kukwepesha madhila aliyowasababishia wahanga wa uovu wake
  5. Heshima ioneshwe na kujutia matendo ya dhuluma yaliyotendeka
 
Kama kweli angekuwa na nia njema asingeteka watu na kuwaua ili kunyamazisha upinzani, asingefanya uchaguzi wa hovyo, usingefunga kanisa, asingeua gen z.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…