Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hawahawa kina mwakyembe😅🙌🏃Wanyakyusa huwa wamenyooka,ukitaka siasa za unafiki usiambatane na Wanyakyusa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawahawa kina mwakyembe😅🙌🏃Wanyakyusa huwa wamenyooka,ukitaka siasa za unafiki usiambatane na Wanyakyusa.
Hiyo kazi siwezi kuifanya hata siku moja. Mimi ni muumini wa ANTI FASCISM.
Wanyakyusa huwa wamenyooka,ukitaka siasa za unafiki usiambatane na Wanyakyusa.
Mbona wao badala ya kujitetea kuhusu hizo shutuma dhidi ya CHADEMA na Upinzani Slaa anaanza ku escalate mambo kwenye Maria Space.Kwa maneno mdomoni tu? Kwamba huo ndiyo utetezi wako bora kabisa?
Unaowatuhumu mbona wanaweza kujitetea vizuri zaidi kuliko hata wewe ndugu?
Hawahawa kina mwakyembe😅🙌🏃
Mbona wao badala ya kujitetea kuhusu hizo shutuma dhidi ya CHADEMA na Upinzani Slaa anaanza ku escalate mambo kwenye Maria Space.
Alieanzisha hili timbwili ni Nwabukusi na Slaa Mwamba akawajibu kistaarabu sana Slaa anaanza ku escalate mambo.Hudhani kuwa yeye naye anajibu? Uliwahi ona wapi mtu anagomba peke yake? U big brother hauna nafasi popote ndugu.
Sherehe kubwa Lumumba, CHADEMA wakiparurana
Maelewano huhusisha pande 2.
Alieanzisha hili timbwili ni Nwabukusi na Slaa Mwamba akawajibu kistaarabu sana Slaa anaanza ku escalate mambo.
Migongano ya Ideas sio jambo geni katika historia na hupeleke kuzaliwa kwa vyama na movement kama ilivyokuwa kwa ANC na PAC na mgawanyiko wa ZANU.Hakuna timbwili hapo. Mwananchi hawezi kutolewa kafara kwenye ubnafsi.
Kwamba busara imeshindwa kutafutwa hata Sasa? Kwamba kama ndivyo potelea mbali?
Kama ndivyo tuna janga ..
Migongano ya Ideas sio jambo geni katika historia na hupeleke kuzaliwa kwa vyama na movement kama ilivyokuwa kwa ANC na PAC na mgawanyiko wa ZANU.
Mdude arudi twende Nyasa huko ndio anahitajika zaidi kuliko kumfuata Slaa na Mwabukusi Mwanza.
Mkuu vyama vingine havizaliwi kuliko staarabika. Huwa twaenda kwenye uchaguzi tukashawishiana kwa hoja kura zikaamua. Kijiti wanapewa wengine.
😂Hapana mkuuWasukuma nao si mlishawasema kuwa nao hawaaminiki ..? Au?
😂Hapana mkuu
Mi nimeuliza tu🤷
Mwabukusi ameongea ukweli.
Wengi ndani ya Chadema wanapigia mahesabu ubunge mwaka 2025. Hiyo ndiyo main target yao.
Hizi language za katiba mpya ni excuse tu hasa baada ya Magufuli kuwafanyia kitu mbaya mwaka 2020
Kanda ya Nyasa: Homa ya Oparesheni 255 yapanda, yasubiriwa kwa hamu
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba kituo kinachofuata kwa ile Oparesheni kabambe ya 255 KATIBA MPYA , OKOA BANDARI ZETU ni Kanda ya Nyasa . Bado haikupangwa ratiba ya Oparesheni hiyo kwenye kanda hiyo , lakini tayari mizuka ishawapanda wananchi , kila mtu anasubiri ujio wa Jambo hilo Taarifa...www.jamiiforums.com
Twende Nyasa Mkuu, kuburuzwa na Mashushushu sio Dili.