Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Hiyo kazi siwezi kuifanya hata siku moja. Mimi ni muumini wa ANTI FASCISM.

Kwa maneno mdomoni tu? Kwamba huo ndiyo utetezi wako bora kabisa?

Unaowatuhumu mbona wanaweza kujitetea vizuri zaidi kuliko hata wewe ndugu?
 
Wanyakyusa huwa wamenyooka,ukitaka siasa za unafiki usiambatane na Wanyakyusa.

Kumbe kina Twaha Mwaipaya kule CDM ni victims of suspect. Si mseme kabisa makabila mnayoyataka kwenye vyama vyenu ieleweke?
 
Kwa maneno mdomoni tu? Kwamba huo ndiyo utetezi wako bora kabisa?

Unaowatuhumu mbona wanaweza kujitetea vizuri zaidi kuliko hata wewe ndugu?
Mbona wao badala ya kujitetea kuhusu hizo shutuma dhidi ya CHADEMA na Upinzani Slaa anaanza ku escalate mambo kwenye Maria Space.
 
Mnafiki utamjua tu.
 
Alieanzisha hili timbwili ni Nwabukusi na Slaa Mwamba akawajibu kistaarabu sana Slaa anaanza ku escalate mambo.

Hakuna timbwili hapo. Mwananchi hawezi kutolewa kafara kwenye ubnafsi.

Kwamba busara imeshindwa kutafutwa hata Sasa? Kwamba kama ndivyo potelea mbali?

Kama ndivyo tuna janga ..
 
Migongano ya Ideas sio jambo geni katika historia na hupeleke kuzaliwa kwa vyama na movement kama ilivyokuwa kwa ANC na PAC na mgawanyiko wa ZANU.

Mdude arudi twende Nyasa huko ndio anahitajika zaidi kuliko kumfuata Slaa na Mwabukusi Mwanza.
 
Mkuu vyama vingine havizaliwi kuliko staarabika. Huwa twaenda kwenye uchaguzi tukashawishiana kwa hoja kura zikaamua. Kijiti wanapewa wengine.
 
Twende Nyasa Mkuu, kuburuzwa na Mashushushu sio Dili.
 
Mwabukusi ameongea ukweli.

Wengi ndani ya Chadema wanapigia mahesabu ubunge mwaka 2025. Hiyo ndiyo main target yao.

Hizi language za katiba mpya ni excuse tu hasa baada ya Magufuli kuwafanyia kitu mbaya mwaka 2020
 
Anasema Bagonza:

Screenshot_20231001-110524.jpg
 
Twende Nyasa Mkuu, kuburuzwa na Mashushushu sio Dili.

Shushushu hana alama usoni. Kushukiwa aweza shukiwa yeyote ukiwamo hata wewe ..!

Achaneni na hoja nyepesi za primary school hizi.
 
Back
Top Bottom