πππ Yaani baada ya kutoka CIVE ndo umetambua kuwa GPA Kali ni muhimu!Kweli kabisa..
Ila pia kingine GPA kali inaweza kufanya ukabaki chuo kama lecture kabisa hivo wapambane sana hakuna ugumu kabisa wa kushindwa kupata GPA ya 4 na kuendelea..
Hasa hawa wa afya ndo kabisa nyie sio wa kushindwa kutoka na GPA ya 4 n point zake huko.
πππππ
Hongera sanaWadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.
Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa GPA so ukiwa nayo nzuri itakusadia. Mfano mzuri ni BOT wametangaza kazi 83 mostly wanataka watu wenye Upper second kwa hiyo GPA ina umuhimu pia bank kama CRDB nao wana ajiri kwa kuzingatia sana GPA.
Najua wapo wanaosema GPA si chochote lakini niamini mimi inachukua miaka 3,4 hadi 5 kutengeneza GPA it depends na unachosomea lakini skills are easly learned tena nyinyi wa sasa mna bahati kwa sababu mna learning material sehemu mbalimbali kama Udemy unaweza kusomea skill yoyote kwa muda mfupi lakini baada ya kumaliza Chuo its hard wewe kurekebisha GPA yako kwa sababu pia ni costfull hivyo kama hujamaliza pambana sana uwe na ufaulu mzuri.
Kwa Population ya sasa hakuna Taasis Makini eti ikaacha mtu aliyepata GPA ya 4.0 akakuchukua wewe mjinga mwenye Pass au GPA ya 2.0 hakuna kwa sababu kwa maoni yangu naona uzingatiaji wa masomo una uhusiano moja kwa moja katika kukamilisha kazi za watu utazokua unapewa na waajiri wako Low GPA inaonesha Uzembe/Uvivu au kutozingatia maelekezo ya Wahadhiri.
Kingine mjiamini unaweza kupata kazi taasis yoyote bila kusaidiwa na mtu yoyote jiandae vizuri kwa kila usaili hakika Utafanikiwa.
NB: Andiko hili linawahusu wadogo zangu ambao bado hamjamaliza vyuo na mnatarajia katika soko ya ajira GPA nzuri/Kubwa inahusika Kwa wale makonkodi ambao mmeshaharibu sina remedy yoyote mnaweza kupita kushoto.
Pale cive kupata GPA kali sio kazi ndogo.πππ Yaani baada ya kutoka CIVE ndo umetambua kuwa GPA Kali ni muhimu!
Kweli kenge hasikii hadi damu umtokeke kwa masikio.
Hiyo avatar yako hiyo..Hivi ndivyo vitu vinatakiwa JF!
Pale CIVE napaelewa mkuu. Ilikuwa ngori sana.Pale cive kupata GPA kali sio kazi ndogo yaani maana yake weww upigw msuri as if upo advance....
Alafu mkuu kuna sisi walitudanganya tukavamia course tukijua hakuna mathematics kumbe daaaah acha tuu
ππππππ Daaah acha kabisa ni mwendo wa ujasi tuu..Pale CIVE napaelewa mkuu. Ilikuwa ngori sana.
Ungekuwa unakuja tu ng'hong'honha maana nina lodge yangu kule ππ.ππππππ Daaah acha kabisa ni mwendo wa ujasi tuu..
Sema kama ningekua udom pale ningekua naokoteza maokoto nilijipatia kitengo changu pale cha Mr panisher
Sijui nirudi tuu daaah
Kule kuna wanangu walikua wanakuja na mazaga ya kule daaah,,Ungekuwa unakuja tu ng'hong'honha maana nina lodge yangu kule ππ.
BVM ya moto....Ni kweli kabisa GPA ina "matter", lakini GPA pia inatokana umesoma nini na wapi. PSPA ya UDSM huwezi fananisha na BVM ya SUA.
Mi nina Gamba la hapo SUA si haba chochote kinawezekana ukijitumaNi kweli kabisa GPA ina "matter", lakini GPA pia inatokana umesoma nini na wapi! PSPA ya UDSM huwezi fananisha na BVM ya SUA.
Mtu kasoma CDTI Tengeru, Community Development anashindwa vipi kupata GPA kali?
Ipi ni nzuri hapa.PSPA ya UDSM huwezi fananisha na BVM ya SUA.
Sema huwa najiuliza sana hivi haya mashirika ya watu binafsi yapo vipi.GPA siyo ishu kabisa kama upo na connection inakuwa easy
Ni noma sana aisee.Kule kuna wanangu walikua wanakuja na mazaga ya kule daaah,,
so poa na wengi walipanga kule aisee.. kitambo sana kuna kipindi nishafika mpaka ujasi ya humanity kule