Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

SUA wanayo Rural Development lakini ni BSc. Sijui kama wameitoa, nimemaliza chuo Waziri Mkuu Lowassa mkuu. 😊
Daaah hatareee sana mkuu...
Hiko kipindi mambo yalikua moto sana aiseee an hiko kipindi unakutana na madude mpaka unajuta....

Unasema bora yule anayesoma mwili mmoja tuu.. sio ile Anatomy
 
Pia wafanye sana extracurricular activities; chochote unachopenda iwe ni kufundisha, michezo, kujitolea nk. hii itawasaidia sana kutengeneza interpersonal skills.

Sio unaambiwa ujieleze unakosa cha kusema zaidi ya umri na jina tu.

Halafu waishi vizuri na wakufunzi, wakufunzi ni wadhamini wazuri.
""Sio unaambiwa ujieleze unakosa cha kusema zaidi ya umri na jina tu.""

Daaaah oky my name is PB yaah i finished and but i know very well and i can do better this job. My father is he called Amos.
Thank Mr questionnaire 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Daaah hatareee sana mkuu...
Hiko kipindi mambo yalikua moto sana aiseee an hiko kipindi unakutana na madude mpaka unajuta....

Unasema bora yule anayesoma mwili mmoja tuu.. sio ile Anatomy

Mimi naona siku hizi Gen Z wana "advantage" ya utandawazi na mambo ya kujisomea yamerahisishwa teknolojia kama Internet na mawasiliano.
Braza mimi Computer nilienda kuijua. Internet kwa mara ya kwanza nimeifahamia chuo kikuu.
Maktaba ni vitabu vitupu, shule ilikuwa ngumu. Hakuna Internet, ukibahatika kuingia Computer Lab, unapewa risaa tuu. Computer Lab muda wote watu wamejaa, unavizia mkali anatoka ndio unakaa na wewe kutumia. Kinyume na hapo uende Internet Cafe zilizo nje ya chuo, ambazo utatozwa kwa muda.

Enzi hizo Free Encyclopedia ya kupata materials ni Wikipedia peke yake. Huwezi ku print, u atakiwa uandike na huku upo kwenye Computer. Kwenye hilo hilo lisaa hujaingia Yahoo news kucheki taarifa, hujajibu Penpals emails, hujacheki blogs.
Hujaingia DarHotWire kucheki cheki.
Enzi hizo unaomba udahili kwa Registrar wa chuo husika, Fomu zilikuwa zinatumwa Posta. Unajaza unazituma tena chuo husika.
 
Sasa mkuu sisi wa practical wengi ambao tupo nondo hatuna gpa kali sisi zetu ni zile za kula boom la mama..

Ndo mana nasema sisi hapa mara nyingi wanaaangalia experience yako ya madude je unaweza au
Computer kupata field tu sehemu makini kama CRDB wanaangalia GPA, sembuse kazi?

Halafu wewe mtu wa vibonzo(animation) sidhani kama ni computer, itakuwa ni media studies. Kwenye media huko kuna ushindani sana lazima wataangalia GPA.
 
Rahisi sana sana..
Ila sasa naona mambo yamebadilika huku vyuoni ili ufikie hizo course basi inabidi uwe na 1 kali sana sana..

Ila SUA moto wake upo vile vile ukienda shallow pale sahau kabisa
Hivi kwa nini mnasema elimu sikuhizi imerahisishwa
Kwamba nini kimetokea, kuna vitu vimepunguzwa au. Maana wakati niko advance tulikuwa na review zinaonesha mitihani ya miaka iliyopita hadi ya 1999, mbona tulikuwa tunaona ndio maswali yaleyale tu, hakuna kilichopungua wala kuongezeka. Mitihani hata haikuwa migumu kihivyo kama watu mnavyosema
Sahiz niko chuo nasoma Mechanical Engineering, mambo ni mengi hakuna urahisi wowote, sasa kwamba zamani ilikuwaje, walikuwa wanasoma vitu vingi zaidi yetu au

Mi kwangu labda urahisi ninaouona ni kwamba wanafunzi wengi tuna laptop, na internet sikuhizi ina material mengi. Ila sidhani kwamba sasahivi elimu wameifanya rahisi, labda sijui kuhusu mitihani ya before 1999 maana sijawahi kuisolve
 
tuliosoma.zamani hatujui

lkn hivi kuna mtu anapata GPA ya 2 kweli?

form 4 alipitaje, Form six kwenda chuo alipitaje au ni zile za chupi
 
tuliosoma.zamani hatujui

lkn hivi kuna mtu anapata GPA ya 2 kweli?

form 4 alipitaje, Form six kwenda chuo alipitaje au ni zile za chupi
Wengi wao ni uzembe mkuu, unaweza kukuta mtu yupo vizuri kichwani lakini akija chuo anaanza kuona uvivu kuendelea kusoma. Hahudhurii lectures, vipindi vya practical haji, anasubiri kipindi cha mtihani ndio awe zimamoto na mitihani ya practical unakuta anafeli
Sasa huyu huwezi kufananisha na mtu anayehudhuria lecture zote, anayesikilixa lecturer kwa makini, anayesoma na kufanya quiz zake mwenyewe au kwa discussion badala ya kucopy quiz ya mwingine halafu na kipindi cha mtihani hata akipiga zimamoto inakuwa easy tu
Sasa unakuta mtu anazembea huko kote af anategemea zimamoto imsaidie. Lazima ulambe GPA ya hovyo tu, hakuna huruma 🙂

Halafu muda mwingine unakuta lecturers nao wanachangia kwenye namna ya kutunga mitihani 😅😅
Kama sisi jana tumetoka kwenye semester exam (Maths) watu wanalalamika, lecturer wa Maths anafundisha vizuri sana lakini mitihani yake halegezi. Kwanza anachagua sehemu chache ambazo anajua wanafunzi hamjazitilia mkazo sana, hakafu mtihani mzima unabase sehemu hizo tu ambazo watu wanaziacha muda wa kusoma. Unajikuta kwenye paper yale uliyokazana kuyasoma hayapo, ni kama kuna malekcha wanajua tu akili za wanafunzi ko wanafanya komoa. Wanashusha GPA za watu 😂😂
 
Mimi naona siku hizi Gen Z wana "advantage" ya utandawazi na mambo ya kujisomea yamerahisishwa teknolojia kama Internet na mawasiliano.
Braza mimi Computer nilienda kuijua. Internet kwa mara ya kwanza nimeifahamia chuo kikuu.
Maktaba ni vitabu vitupu, shule ilikuwa ngumu. Hakuna Internet, ukibahatika kuingia Computer Lab, unapewa risaa tuu. Computer Lab muda wote watu wamejaa, unavizia mkali anatoka ndio unakaa na wewe kutumia. Kinyume na hapo uende Internet Cafe zilizo nje ya chuo, ambazo utatozwa kwa muda.

Enzi hizo Free Encyclopedia ya kupata materials ni Wikipedia peke yake. Huwezi ku print, u atakiwa uandike na huku upo kwenye Computer. Kwenye hilo hilo lisaa hujaingia Yahoo news kucheki taarifa, hujajibu Penpals emails, hujacheki blogs.
Hujaingia DarHotWire kucheki cheki.
Enzi hizo unaomba udahili kwa Registrar wa chuo husika, Fomu zilikuwa zinatumwa Posta. Unajaza unazituma tena chuo husika.
Duuuh aiseeee 🙌 🙌 🙌 🙌
Mambo ya yahooo ebana eeeeeh hatareee hiyo

Kitambo sana.
Sasa hivi ni mtelezo tuu. Unarudi hom na past paper then unampa chat anakupa full answer na shortcut way yaani sio kusumbuka sana
 
Computer kupata field tu sehemu makini kama CRDB wanaangalia GPA, sembuse kazi?

Halafu wewe mtu wa vibonzo(animation) sidhani kama ni computer, itakuwa ni media studies. Kwenye media huko kuna ushindani sana lazima wataangalia GPA.
Ahahahahah au sio kwahyo mimi mtu wa vibonzo...
Mi IT bob sipendi kuitwa mtu wa vibonzo ujue 😂😂😂😂
 
Sema huwa najiuliza sana hivi haya mashirika ya watu binafsi yapo vipi.

Kuna sehemu nilienda an kila naemgusa ni form 4 anasema alipofika alifanya practical test basi.. mpaka leo yupo na kati ya kumi wawili tu ndo wansema wametokea chuo
Katika hili kitu mnachokosea ni kuwa si kila pahala vigezo vinatakiwa. Mfano unahitaji mchuchu na mchuchu katika kijiji ni mmoja tu, hivyo hata awe na chongo au anamitusi kama jamaa yangu wa hapa JF, utamchukua tu.

Kuna professions ambazo zina uhitaji wa watu wa hands-on; hizo GPA haina maana au ufaulu. Nitatoa mfano katika IT. Cheti na GPA inatakiwa katika taasisi za taaluma ya kielimu ila huku katika handson, tunahitaji skilled person. Mfano nataka kutengeneza mfumo kama JF, cheti sikihitaji ila namhitaji mtu anayeweza kunitengenezea system ambayo inaweza kufanya kazi zaidi ya JF.

Vigezo kama ana Phd au Masters, au D ngapi etc GPA ya ngapi, ni pale ambapo kuna candidate wengi. Mfano Enzi hizo ambapo wahitimu hatukuwa wengi hapo UDSM, wengi tuliajiriwa bila kuangalia GPA ya first degree.

Mambo yanabadilika kila kukicha nakazia kuwa kwa sasa kama mtoa mada anavyosema lazima kijana kwanza ahakikishe anapasua form four. Ili maisha yake ya baadaye yanyooke. Pili first degree au Diploma yake iwe na first class ili kujihakikishia ufalme wa hapa Duniani siku zijazo. Techinical know who huwa ni short lived
 
Nachoka mimi mjukuu wa mwandambo...

Hatare sana mkuu ngoja tuone lakini itakuaje maana daaah
 
Kweli kabisa..
Ila pia kingine GPA kali inaweza kufanya ukabaki chuo kama lecture kabisa hivo wapambane sana hakuna ugumu kabisa wa kushindwa kupata GPA ya 4 na kuendelea..

Hasa hawa wa afya ndo kabisa nyie sio wa kushindwa kutoka na GPA ya 4 n point zake huko.
🙏🙏🙏🙏🙏
GPA Kali inaweza kuamua maisha yako......
Lakini ukitoka chuo chnganya na akili zetu hizi za kina mwajuma!!¡!!! Miezi kadhaa lecture wa udsm kajiua kwa kujidumbukiza kwenye kisima sijui karo ukisoma barua aliyoiacha utesema maisha kyuuma mayo.
 
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂
Lecture kaacha ndala....
Tukitoka chuo
Option 1 Winga
Option 2 Wakala
 
Mwalimu wangu aliwahi kusema Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha

Sikuwahi kuielewa hii kauli kwa kipindi kile, ila sasa naielewa nikiwa mtaani.
MUHAS product sijawahi kuona wapo mtaani aiseee..
Nyie ni zaidi ya gold mna hutajika mno
 
GPA sio kwaajili tu ya ajira za kuwa lecturer au mashirika makubwa yaliyo strict kwenye GPA.

GPA itakufungulia milango mingi, mfano siku hizi ajira nyingi watu wanatuma maombi kwa kuambatanisha gpa, shirika linaeza kuona waombaji ni wengi sana hivyo wakawapunguza kwa kuwachuja kwa gpa za kuania 3.8

Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma.

Mengine ni bahati, connections na kudra. ajira ni chache lazima wabaki watu mtaani, hivyo jiongeze pia kwenye taaluma nyinginezo zikubebe utakapokosa ajira.
Kumbe ngoja niendlee kukaa hapa kwenye first class
 
Back
Top Bottom