Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

Mimi naona siku hizi Gen Z wana "advantage" ya utandawazi na mambo ya kujisomea yamerahisishwa teknolojia kama Internet na mawasiliano.
Braza mimi Computer nilienda kuijua. Internet kwa mara ya kwanza nimeifahamia chuo kikuu.
Maktaba ni vitabu vitupu, shule ilikuwa ngumu. Hakuna Internet, ukibahatika kuingia Computer Lab, unapewa risaa tuu. Computer Lab muda wote watu wamejaa, unavizia mkali anatoka ndio unakaa na wewe kutumia. Kinyume na hapo uende Internet Cafe zilizo nje ya chuo, ambazo utatozwa kwa muda.

Enzi hizo Free Encyclopedia ya kupata materials ni Wikipedia peke yake. Huwezi ku print, u atakiwa uandike na huku upo kwenye Computer. Kwenye hilo hilo lisaa hujaingia Yahoo news kucheki taarifa, hujajibu Penpals emails, hujacheki blogs.
Hujaingia DarHotWire kucheki cheki.
Enzi hizo unaomba udahili kwa Registrar wa chuo husika, Fomu zilikuwa zinatumwa Posta. Unajaza unazituma tena chuo husika.
Kwa Upande Wangu Kipindi Kile kulikuwa na Advantage zaidi ya Wakati huu,

Advantage ya Kipindi Kile Cha kikwete, ajira ilikuwa ni Uhakika Mkubwa Sana ukilinganisha na Wakati huu,

Wakati Ule waalimu wanafanya interview wanapita wote, Unaenda kwenye interview ukiwa na kujiamini kwakuwa uwezekano wa kupata Kazi ni mkubwa,

Saizi Hali sio Kama Ile ya zamani.
 
Walimu wa kiswahili wanahitajika 90+ walioitwa ni 24,000 na ushee aloooh
 
Sema huwa najiuliza sana hivi haya mashirika ya watu binafsi yapo vipi.

Kuna sehemu nilienda an kila naemgusa ni form 4 anasema alipofika alifanya practical test basi.. mpaka leo yupo na kati ya kumi wawili tu ndo wansema wametokea chuo
Hapa sijajua umeongelea mashirika binafsi ya International au local?
Kama ni local hapo ni ukabila pamoja na ushemeji unatumika na kama ni International wanaangalia uwezo wako binafsi(reasoning capability) na general understanding ukiachilia mbali na makaratasi.
Mtu anaweza akawa na GPA ya 4.5 lakini akiitwa kwenye interview hajui hata kujieleza nilishawahi kusoma na watu wa aina hii ila walichelewa sana kupata kazi na hata kazi walizopata ni zile za ili mradi kazi zenye mishahara midogo na mazingira mabovu.
 
Back
Top Bottom