Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
๐๐๐๐๐Kumbe ngoja niendlee kukaa hapa kwenye first class
๐๐๐๐๐Kumbe ngoja niendlee kukaa hapa kwenye first class
๐๐๐First class za kufagilia ofisi nachoka mm๐๐๐๐๐
Hapo bado mbna...๐๐๐First class za kufagilia ofisi nachoka mm
Mkuu punguza hasira kidogo ๐GPA Kali inaweza kuamua maisha yako......
Lakini ukitoka chuo chnganya na akili zetu hizi za kina mwajuma!!ยก!!! Miezi kadhaa lecture wa udsm kajiua kwa kujidumbukiza kwenye kisima sijui karo ukisoma barua aliyoiacha utesema maisha kyuuma mayo.
Sina hasira dogo naongea uhalisiaMkuu punguza hasira kidogo ๐
Kuna pressure kubwa mtaani hata kama una kibarua.MUHAS product sijawahi kuona wapo mtaani aiseee..
Nyie ni zaidi ya gold mna hutajika mno
Kwa uzoefu wangu hapa bongo wengi wa GPA kali kwenye kozi za practical kama za computer science au engineering wanapita kwenye shortlist ya kuitwa interview na kwenye written interview kisha unakuta karibu wote wanakwama practical. Kisha wanatangaza tena ajira.Ninachofamu vyeti vya udktari tuu ndo havinaga GPA japo kwenye transcript ipo na wanaitumia transcript
DAaah. AiseeeeKuna pressure kubwa mtaani hata kama una kibarua.
Ukifumba na kufumbua macho unaona kutoboa panahitajika akili ya nje ya darasani. Hapo ndipo unapoona watu wa elimu ya hapa na pale wametusua ila wewe mwenye gamba unachechemea
Iyo daku a vinamba ๐๐Hapo bado mbna...
All in all nimeona id yako ndo nimekumbuka kumbe jana sikula daku
Uzi makiniWadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.
Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa GPA so ukiwa nayo nzuri itakusadia. Mfano mzuri ni BOT wametangaza kazi 83 mostly wanataka watu wenye Upper second kwa hiyo GPA ina umuhimu pia bank kama CRDB nao wana ajiri kwa kuzingatia sana GPA.
Najua wapo wanaosema GPA si chochote lakini niamini mimi inachukua miaka 3,4 hadi 5 kutengeneza GPA it depends na unachosomea lakini skills are easly learned tena nyinyi wa sasa mna bahati kwa sababu mna learning material sehemu mbalimbali kama Udemy unaweza kusomea skill yoyote kwa muda mfupi lakini baada ya kumaliza Chuo its hard wewe kurekebisha GPA yako kwa sababu pia ni costfull hivyo kama hujamaliza pambana sana uwe na ufaulu mzuri.
Kwa Population ya sasa hakuna Taasis Makini eti ikaacha mtu aliyepata GPA ya 4.0 akakuchukua wewe mjinga mwenye Pass au GPA ya 2.0 hakuna kwa sababu kwa maoni yangu naona uzingatiaji wa masomo una uhusiano moja kwa moja katika kukamilisha kazi za watu utazokua unapewa na waajiri wako Low GPA inaonesha Uzembe/Uvivu au kutozingatia maelekezo ya Wahadhiri.
Kingine mjiamini unaweza kupata kazi taasis yoyote bila kusaidiwa na mtu yoyote jiandae vizuri kwa kila usaili hakika Utafanikiwa.
NB: Andiko hili linawahusu wadogo zangu ambao bado hamjamaliza vyuo na mnatarajia kuingia katika soko ya ajira GPA nzuri/Kubwa inahusika Kwa wale makonkodi ambao mmeshaharibu sina remedy yoyote mnaweza kupita kushoto.
Mzee mwenzangu upo?๐ ๐Mwalimu wangu aliwahi kusema Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha
Sikuwahi kuielewa hii kauli kwa kipindi kile, ila sasa naielewa nikiwa mtaani.
Hakuna kazi utakayopata BOT kwa sababu ya GPA tu..Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.
Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa GPA so ukiwa nayo nzuri itakusadia. Mfano mzuri ni BOT wametangaza kazi 83 mostly wanataka watu wenye Upper second kwa hiyo GPA ina umuhimu pia bank kama CRDB nao wana ajiri kwa kuzingatia sana GPA.
Najua wapo wanaosema GPA si chochote lakini niamini mimi inachukua miaka 3,4 hadi 5 kutengeneza GPA it depends na unachosomea lakini skills are easly learned tena nyinyi wa sasa mna bahati kwa sababu mna learning material sehemu mbalimbali kama Udemy unaweza kusomea skill yoyote kwa muda mfupi lakini baada ya kumaliza Chuo its hard wewe kurekebisha GPA yako kwa sababu pia ni costfull hivyo kama hujamaliza pambana sana uwe na ufaulu mzuri.
Kwa Population ya sasa hakuna Taasis Makini eti ikaacha mtu aliyepata GPA ya 4.0 akakuchukua wewe mjinga mwenye Pass au GPA ya 2.0 hakuna kwa sababu kwa maoni yangu naona uzingatiaji wa masomo una uhusiano moja kwa moja katika kukamilisha kazi za watu utazokua unapewa na waajiri wako Low GPA inaonesha Uzembe/Uvivu au kutozingatia maelekezo ya Wahadhiri.
Kingine mjiamini unaweza kupata kazi taasis yoyote bila kusaidiwa na mtu yoyote jiandae vizuri kwa kila usaili hakika Utafanikiwa.
NB: Andiko hili linawahusu wadogo zangu ambao bado hamjamaliza vyuo na mnatarajia kuingia katika soko ya ajira GPA nzuri/Kubwa inahusika Kwa wale makonkodi ambao mmeshaharibu sina remedy yoyote mnaweza kupita kushoto.
Mpo mliojikatia Tamaa kama nyinyi by the way nafanya kazi katika Second most reputable organisation baada ya BOT nilipata hapo bila kushikwa mkono, tako na mtu yoyote na sikuwa wakishua wala nini! Kama una Qualification we omba tuuHakuna kazi utakayopata BOT kwa sababu ya GPA tu..
Watu si Wajinga bhana
Nipo mkuu, japo nimeadimika sana humuMzee mwenzangu upo?[emoji28][emoji28]