Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

Kozi ya kiume hiyo, ukitoka hapo kuna Food Science. Mtu anataka utoke na Uppr 2rd ya 3.9. ๐Ÿ˜Š
Food science mwanazoni tulikua tunasema unakua baba lishe au mama lishe..

Ila waliosoma daaah aisee kuna watu wanakula.mizigo aiseee.
Kama BVM duuuh ule moto hapana kabisa, ile kweli ya wanaume kule ukute mtu ana 4 oooh oooh oooh
 
GPA siyo ishu kabisa kama upo na connection inakuwa easy
Mostly hamjaajiriwa bado you can talk anything mfano sasa utumishi wametangaza wanataka watu wenye Upper second umeanza kua apply let say na pass yako ya 2.1 you wonโ€™t even appear katika interview hapo katika utumishi Wa Umma Ndugu yako anakuingizia wapi katika taasis? Jibu ni itโ€™s not easy as you think young man Utumishi siku hizi wamefanya mfumo umekua mgumu takataka zote unatema mi nakumbuka mwaka 2015 nilifanya interview na mtoto wa Kigogo wa taasis ambayo inahitaji watu nilimuona kwenye shortlist ya majina ya wanaotakiwa kufanya interview DUCE yule demu hakupata ajira ile na mimi mpaka leo nipo hapo. So ondoeni mentality za kushikwa mkono hata kubebwa huwezi kumbeba nungunungu atakuchoma na miba
 
Mi nina Gamba la hapo SUA si haba chochote kinawezekana ukijituma

SUA kuna kozi nyingi mkuu, GPA SUA, inategemea na kozi na kitivo (college). Hata hivyo ushauri wako mzuri kwa vijana. Hongera pia kwa kusoma SUA.

College of Veterinary medicine and Biomedical Science, GPA za hapo zinafahamika mkuu. Ukikunja 2.7+ unavimba sio kidogo. ๐Ÿ˜Š
 
Na je sisi wataalam wa computer
Wazee a practical bado mtaangalia GPA mtumishi ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน
 
Hapana mkuu kwanza kumaliza tu mpaka last year wewe tayari unavimba mkuu
 
Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.

Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa GPA so ukiwa nayo nzuri itakusadia. Mfano mzuri ni BOT wametangaza kazi 83 mostly wanataka watu wenye Upper second kwa hiyo GPA ina umuhimu pia bank kama CRDB nao wana ajiri kwa kuzingatia sana GPA.

Najua wapo wanaosema GPA si chochote lakini niamini mimi inachukua miaka 3,4 hadi 5 kutengeneza GPA it depends na unachosomea lakini skills are easly learned tena nyinyi wa sasa mna bahati kwa sababu mna learning material sehemu mbalimbali kama Udemy unaweza kusomea skill yoyote kwa muda mfupi lakini baada ya kumaliza Chuo its hard wewe kurekebisha GPA yako kwa sababu pia ni costfull hivyo kama hujamaliza pambana sana uwe na ufaulu mzuri.

Kwa Population ya sasa hakuna Taasis Makini eti ikaacha mtu aliyepata GPA ya 4.0 akakuchukua wewe mjinga mwenye Pass au GPA ya 2.0 hakuna kwa sababu kwa maoni yangu naona uzingatiaji wa masomo una uhusiano moja kwa moja katika kukamilisha kazi za watu utazokua unapewa na waajiri wako Low GPA inaonesha Uzembe/Uvivu au kutozingatia maelekezo ya Wahadhiri.

Kingine mjiamini unaweza kupata kazi taasis yoyote bila kusaidiwa na mtu yoyote jiandae vizuri kwa kila usaili hakika Utafanikiwa.

NB: Andiko hili linawahusu wadogo zangu ambao bado hamjamaliza vyuo na mnatarajia kuingia katika soko ya ajira GPA nzuri/Kubwa inahusika Kwa wale makonkodi ambao mmeshaharibu sina remedy yoyote mnaweza kupita kushoto.
​
Sidhani
 
Food science mwanazoni tulikua tunasema unakua baba kishe au mama lishe..

Ila waliosoma daaah aisee kuna watu wanakula.mizigo aiseee.
Kama BVM duuuh ule moto hapana kabisa, ile kweli ya wanaume kule ukute mti ana 4 oooh oooh oooh

Braza vyuo vikubwa vyote kuna Vitivo "Colleges", inafahamika wazi mbona hata mkiwa pale, watu wa Kitivo gani na kozi zao ni "Manamba". Labda kama siku hizi hamtumii hiyo kauli ya Manamba, enzi zetu tulikuwa tunaitana "Manamba".. unakuta kijamaa kinapiga "Molecular Biology"...
Mtu anapiga BSc Rural Development, unataka akose 3.5+ atakuwa mzembe sio kidogo. ๐Ÿ˜Š
 
GPA itakufungulia milango mingi, mfano siku hizi ajira nyingi watu wanatuma maombi kwa kuambatanisha gpa, shirika linaeza kuona waombaji ni wengi sana hivyo wakawapunguza kwa kuwachuja kwa gpa za kuania 3.8
Shirika Gani Hilo kwa hapa bongo !?
 
Braza vyuo vikubwa vyote kuna Vitivo "Colleges", inafahamika wazi mbona hata mkiwa pale, watu wa Kitivo gani na kozi zao ni "Manamba". Labda kama siku hizi hamtumii hiyo kauli ya Manamba, enzi zetu tulikuwa tunaitana "Manamba".. unakuta kijamaa kinapiga "Molecular Biology"...
Mtu anapiga BSc Rural Development, unataka akose 3.5+ atakuwa mzembe sio kidogo. ๐Ÿ˜Š
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Daaha jamaa unagusa madude ya moto tuu hiyo molecular biology hiyo....

Kuna hizi zetu sio social sciences....
Ila hiyo Rular Development ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nasikia shule kwa Gen Z imekuwa rahisi sana siku hizi! Nasikia shule imekuwa rahisi siku hizi. Sina hakika lakini. ๐Ÿ˜Š
Rahisi sana sana..
Ila sasa naona mambo yamebadilika huku vyuoni ili ufikie hizo course basi inabidi uwe na 1 kali sana sana..

Ila SUA moto wake upo vile vile ukienda shallow pale sahau kabisa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Daaha jamaa unagusa madude ya moto tuu hiyo molecular biology hiyo....

Kuna hizi zetu sio social sciences....
Ila hiyo Rular Development ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

SUA wanayo Rural Development lakini ni BSc. Sijui kama wameitoa, nimemaliza chuo Waziri Mkuu Lowassa mkuu. ๐Ÿ˜Š
 
Na je sisi wataalam wa computer
Wazee a practical bado mtaangalia GPA mtumishi ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน
UPPER SECOND TU tena Wanakuambia AT LEAST UPPER SECOND elewa neno at least yaani angalau.
IMG_1565.jpeg
 
Kwann mkuu
Kwanini
Why
Hapa unayozungumzia, nafasi hizo zinahusiana na fedha, uchumi, na biashara. Kuna ushindani mkubwa sana kwa watu waliohitimu masomo haya na ni wengi mno, hata vilaza wapo humo (watoto wa vigogo). Hizo nafasi 83 ni chache sana kwa mtoto wa masikini ambaye hana connection kupata labda bahati tu.
 
Pia wafanye sana extracurricular activities; chochote unachopenda iwe ni kufundisha, michezo, kujitolea nk. hii itawasaidia sana kutengeneza interpersonal skills.

Sio unaambiwa ujieleze unakosa cha kusema zaidi ya umri na jina tu.

Halafu waishi vizuri na wakufunzi, wakufunzi ni wadhamini wazuri.
 
Back
Top Bottom