Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
@Maxence Melo ikikupendeza tuwekee Grok huku kama wa Elon ili awe anatupatia ufafanuzi wa haraka kwa vitu vinavyotaka uchunguzi kama hii comment ya mdauMpo mliojikatia Tamaa kama nyinyi by the way nafanya kazi katika Second most reputable organisation baada ya BOT nilipata hapo bila kushikwa mkono, tako na mtu yoyote na sikuwa wakishua wala nini! Kama una Qualification we omba tuu