Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Una generalise sana kwamba wanawake wenye kazi hawatumii pesa zao kwa ajili ya familia hiyo nakataa
 
Ndio mkuu ukipata mwanamke Bora ni vizuri ila Hawa wanawake wakishapata watoto na wakakua mara nyingi mapenzi huamia kwa watoto na usiombe apate cheo huko ofisini na mshahara ukapanda na hekima asiwe nayo ndo basi tena kwasababu wakati mshahara wako unatumika yeye anajihimarisha na kuwa nguvu zaidi ndo maugomvi na shida ndani hua azihishi
 
hapo kwenye kujiimarisha umesema ukweli kabisa mkuu
 
Kwanini uwaze mwanaume kufa kabla ya mwanamke? Hiki kitu nacho Huwa kinanishangaza
 
common sense mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio common sense chief, bali umetumia people's experiences. Medical explanation yakuelezea hicho kitu ipo ila hutayapenda maana inaweza mfanya watu waache kufunga ndoa kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Tunaenda kinyume na maumbile ya asili ndo maana lazima hayo yanatokea.
 
Jf mbele daima, mtanisamehe kwa uandishi mbovu.

Watu mlioko kwenye ndoa kuna nini uko ambacho mngependa kutushauri sisi ambao hatujaoa/kuolewa either mazuri au mabaya ili tuweze kujifunza.

Hivi karibuni kampeni za kukataa ndoa hapa jf zimeshika kasi sana kana kwamba hata sisi ambao tunasapoti ndoa kutaka kuunga mkono kampeni kwa sababu ya visa na matukio ya kutisha ambayo tunayaona na kuyasikia kwa baadhi ya members hapa kwenye majukwaa.

Sasa hivi wanawake wa kisukuma wamewapiku wachaga baada ya matukio yao kuripotiwa kila siku kwenye media, tukianza na Masawe, Dr. Mwaka na kaka yetu Haji.

Kesi za ndoa huku mahakamani ndio usiseme, almost kila siku talaka zinatoka, tunayokutana nayo kwenye law firms hayaelezeki.

Kwa takwimu za haraka haraka wanaume ndio wanaongoza mpaka sasa kuleta malalamiko ya ndoa hapa jukwaan, wanawake kama kawaida yao wanaleta malalamiko kwa kuvizia kwa sababu ni wavumilivu sana; ukiona kaleta uzi hapa ujue yamemfikia kooni.

Nimeamua kuandika huu uzi baada ya kutoka kushuhudia ugomvi mzito sana wa wanandoa hapa jirani, mwanamke kaamua kuondoka na haijulikani kaenda wapi! Na kwa makadirio hawa wanandoa hawana muda mrefu tangu wamefunga pingu za maisha.

Mlioko kwenye ndoa naombeni mtufumbue macho tafadhali!
 
Leo hii, mm Sexless, kungwi la kitaa nimetoka kupewa malalamiko na mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 34.

Mwanaume huyu analalamika kuwa mkewe kamkimbia na kumuachia watoto 3 (wenye umri wa miaka 6, 4, na 1 Na miezi 8).

Hiwezi amini baba huyu anatoa machozi kabisa kwa kile alichotemdewa na mwanamke huyu
 
😹😹😹
 
Jamaa alioa kwa sababu alipenda tako, bibie aliolewa kwasababu ya ugumu wa maisha.

Kila mtu akipata alichokitafuta, hana sababu ya kubaki.
Nilikua naomba experience yako mkuu.

Sifikiri kama iyo inaweza kua ndo chanzo cha matatizo yote haya tunayoyasikia uko kwenye ndoa kila kukicha. Imani yangu ni kua kwenye kipindi cha uchumba hii dhana yako unakuta haipo.. yawezekana pia ipo lakini ni nadra sana.

Matatizo ya ndoa yamezidi sio tu kwa tajiri au masikini bali, ata kwa wale sura personal na wazuri. Kila mtu anafata moyo wake unavomuongoza.

Au pengine watu tunatumia sana hisia badala ya akili katika kutafuta wenza wetu wa maisha.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…