Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Nioneshe sehemu niliyosema ni kanuni

Nimesema kummudu kiwe kigezo kati ya vigezo vyako vingi ambavyo mimi sivijui

Na nimesema (not all size fit for all)

Nitakuwekea mikono uelewe

Kikubwa acha negative attitute kwa wanawake

Wanawake ni wasaidizi na watu wema sana .special creation na Mungu alitulia sana alipowaumba.
Nikifika Mbinguni nitamuuliza kwa nini wakati wa Uumbaji wa Mwanamke kwa nini alimpiga usingizi wa Pono Adam.... Motive behind hii siri hata Mchungaji wako hana Jibu .. Kwa hiyo itoshe kusema hakuna fomula katika mahusiano ya sasa ... In short Mwanaume ukiwa kichwa ndoa au Mahusiano yako hayatafika hata Mwezi.. The only best way ya kuexcell kwenye Mahusiano ni Mwanaume kutotumia akili yoyote ya kuishi na Mwanamke bali Puuza kila kitu yaani usiwe mfuatiliaji wa chochote kinachomhusu Mwanamke utaishi maisha marefu na ya Amani otherwise muulize Mkuu TheMnyonge hadi Mama Mkwe anamuuliza ulikuwa wapi wakatio Mkeo anapata hiyo Mimba ..... Waiter ongeza Wine
 
Mkuu vipi wewe umeshaoa/olewa tayari?
Unammudu mwenzi wako? Maana tunaweza kummudu leo afu kesho ukamshindwa, sio kwa sababu ya kushindwa kumhudumia Ila inatokea amekutana na shule mpya inayomfanya ajihamishe kutoka level za akina Ashura ndala ndefu na kuji-upgrade kuwa level za akina Wema Sepetu, na kinyume chake, itakuwaje?
Huyu anachangamsha genge tu....Hakuna uhalisia wa Ukichwa cha Familia na yanayoendelea kwenye ndoa ndiyo maana nikamuuliza huo Mfano wa Bilgate na Belinda what went wrong over the way wamekuja kushindwana jua limeshazamaaaaaa
 
Mkuu vipi wewe umeshaoa/olewa tayari?
Unammudu mwenzi wako? Maana tunaweza kummudu leo afu kesho ukamshindwa, sio kwa sababu ya kushindwa kumhudumia Ila inatokea amekutana na shule mpya inayomfanya ajihamishe kutoka level za akina Ashura ndala ndefu na kuji-upgrade kuwa level za akina Wema Sepetu, na kinyume chake, itakuwaje?
Niiliyenae ananimudu vizuri kabisa na ananisupport kwenye career life.Naplay nafasi yangu na yeye anaplay ya yake maisha yanasonga.

Lkn ananimudu kwa vitu vingi sana na naenjoy kumudiwa hahahahahaha

I will never take his position kama kichwa kwangu maana nitaenda kinyime na imani yangu

Ila haikuwa rahisi kupata chemistry ya haina hiyo but i thank God amenipa.
 
Nakukunda umesema nyie wanawake ni receiver by nature, sasa mbona nyie wenyewe huwa mna abuse hiyo nature yenu? Kuna kitabu nilisoma kimeandikwa na mdada wa kimarekani anaitwa baje Fletcher, kinaelekeza wadada jinsi ya kupata hela toka kwa wanaume bila kutoa papuchi, na wadada wengi mnapenda transaction ya aina hiyo..hela za mwanaume mnapenda kupokea ila papuchi hampendagi kutoa, au mkiitoa Papuchi mnatoa kwa shingo upande, labda kina evelyn Salt Wakusaidie kujibu Evelyn Salt Nakukunda to yeye
 
amenifurahisha alivyosema eti hata maumbile yao mbele yamebonyea na kubinukia nyuma kwa kiashirio cha kuwa wao by nature niwapokeaji tu hahahahahaha... Au ndiyo maana wadada wenzake wamemsusia thread yake sioni wakija kuongeza nguvu hahaha
 
Habari

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa

Nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk

Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa kiume

Pamoja na vigezo vyako vingi unavyoweza kuwa navyo kama uzuri, tabia, sura , mbususu tamu nk..

Ukitaka kuchagua mke/mwanamke tafuta unayemmudu na weka hiki kama moja ya kigezo kikubwa

Nikisema kummudu simaanishi kifedha tu namaanisha all aspects sababu kwa mujibu ya maandiko ya dini yangu, Mume ni kichwa hii 50/50 ndo meanza kuleta shida kwenye maisha.

Mke anapaswa kuwa mshauri mkuu na msaidizi kwa mujibu wa maandiko, ila pale ambapo mwanaume hasimamii vizuri nafasi yake kama kichwa, hapo ndipo matatizo huwa yanaanza.

Hizi story za kanipiga kizinga huwezi kuzikuta kwa mwanaume aliyemchagua mwenza anayemmudu.Ukiona uwezo wako ni wakina Mwajuma kandambili basi chagua huko, Ukiona uwezo wako ni wakina Wema Sepetu basi chagua hao, ukiona uwezo wako ni kina Jackline Mengi basi chagua type hizo.

Mmudu kifedha simaanishi kuwa tajiri hapa namaanisha yule unayeweza kuafford kwa uwezo wako. Sisi wanawake bana ni receiver by nature, hata kama ukiwa billionea trust me hela ya mume/mwanaume ni tamu jamani kama kuna anayebisha anyoshe mkono. Men are provider by nature and women are receiver by nature. Hata nature ya maumbile yanaonesha hilo kwa maana ya maumbile ya kiume yamechomoza mbele na kike ni kitundu kwa ajili ya kupokea maumbile ya kiume. Ili usipigwe vizinga vya million 3 kama kaka yangu mmoja hapa basi chagua unayemmudu na hapa si kwa mke tu hata wale mnaosakata Mbususu.

Mmudu kitabia, hapa simaanishi aliyekamilika ila ambaye unaweza kuvumilia mapungufu yake na unajua strength zake. Yule ambae akikasirika basi unaweza kumudu reaction zake, wapo wanawake wakichukia wanarusha rusha vitu ovyo kama kupasua TV, wengine wakikasirika huwa wanalia ukimhug na kumbembeleza imeisha, wapo wanaobinua mdomo kama Asha Ngedere, wapo wanaonuna..Tafuta yule ambaye unaweza kummudu kwa situation zote.

Mmudu kitandani sitapaelezea maana JF member almost wengi sana wako vzr kitandani na wana nguvu za kiume na wana PhD ya mapenzi according to nyuzi zao nyingi. Wachache tu ndo tunauwezo wa kawaida.

Naomba kuwasilisha.
Napingana kidogo na wewe ndugu yangu. Kwa mtazamo wangu nafikiri mwanamke ndiye anatakiwa kumchagua mwanaume ambae anammudu, unajua tukiangalia vitu vinavyoitwa ukatili au manyanyaso kwenye mahusiano basi wanawake ndio waanga wakubwa, waanga wa kiume story zao zinavuma zaidi kwa sababu mwanaume ni mtu wa kufanya maamuzi magumu pale uvumilivu ukifika mwisho tofauti na wanawake wanaishia kulilia tu kwaiyo maumivu yao hawavumi sana kwenye jamii, mfano said wa mwanza na mkewe walipata umaarufu kwa sababu saidi alitendwa ila ingetokea yule mwanamke ndo katendwa yasingetokea yaliyotokea, kwaiyo kwa sababu kikinuka kwenye mahusiano mwanamke ndo muhanga mkubwa basi mwanamke ndo anatakiwa kuchagua mtu atakaemmudu, kama mwanamke unaona yale maisha ya kisichana bado hujamalizana nayo au hauna tabia za kukufanya uwe mke mzuri basi usikubali kuolewa au ingia kwenye ndoa na mwanaume zoba ambaye unaweza kumpelekesha unavyotaka ukijichanganya kuingia kwa mwanaume mshenzi ukamtenda basi wewe ndo yatakukuta mabaya kuliko ambayo yangemkuta mwanaume kama angekutemda.. mwanaume kachagua mwanamke ambae hawezi kummudu baada ya kuzinguana kampiga kamuuza au kamuua, mwanamke kamkubalia mwanaume ambaye anammudu kwaiyo kikinuka anaweza kumcontrol., kwaiyo tuelewane hapo dada angu, kwa sababu kikinuka mwanamke ndo muhanga mkubwa basi mwanamke ndio anaepaswa kuchagua mwanaume atakaemmudu na sio vinginevyo
 
Napingana kidogo na wewe ndugu yangu. Kwa mtazamo wangu nafikiri mwanamke ndiye anatakiwa kumchagua ambae anammudu, unajua tukiangalia vitu vibavyoitwa ukatili au manyanyaso kwenye mahusiano basi wanawake ndio waanga wakubwa, waanga wa kiume story zao zinavuma zaidi kwa sababu mwanaume ni mtu wa kufanya maamuzi magumu pale uvumilivu ukifika mwisho tofauti na wanawake wanaishia kulilia tu kwaiyo maumivu yao hawavumi sana kwenye jamii, mfano said wa mwanza na mkewe walipata umaarufu kwa sababu saidi alitendwa ila ingetokea yule mwanamke ndo katendwa yasingetokea yaliyotokea, kwaiyo kwa sababu kikinuka kwenye mahusiano mwanamke ndo muhanga mkubwa basi mwanamke ndo anatakiwa kuchagua mtu atakaemmudu, kama mwanamke unaona yale maisha ya kisichana bado hujamalizana nayo au hauna tabia za kukufanya uwe mke basi mzuri basi usikubali kuolewa au ingia kwenye ndoa na mwanaume zoba ambaye unaweza kumpelekesha unavyotaka.. mwanaume kachagua mwanamke ambae hawezi kummudu baada ya kuzinguana kampiga kamuuza au kamuua, mwanamke kamkubalia mwanaume ambaye anaweza kikinuka anaweza kumcontrol., kwaiyo tuelewane hapo dada angu, kwa sababu kikinuka mwanamke ndo muhanga mkubwa basi mwanamke ndio anaepaswa kuchagua mwanaume atakaemmudu na sio vinginevyo
Kidogo kidogo unakuja kuja.......Kichwa cha familia Dunia hiii ..Ulongo mkubwa
 
Napingana kidogo na wewe ndugu yangu. Kwa mtazamo wangu nafikiri mwanamke ndiye anatakiwa kumchagua mwanaume ambae anammudu, unajua tukiangalia vitu vinavyoitwa ukatili au manyanyaso kwenye mahusiano basi wanawake ndio waanga wakubwa, waanga wa kiume story zao zinavuma zaidi kwa sababu mwanaume ni mtu wa kufanya maamuzi magumu pale uvumilivu ukifika mwisho tofauti na wanawake wanaishia kulilia tu kwaiyo maumivu yao hawavumi sana kwenye jamii, mfano said wa mwanza na mkewe walipata umaarufu kwa sababu saidi alitendwa ila ingetokea yule mwanamke ndo katendwa yasingetokea yaliyotokea, kwaiyo kwa sababu kikinuka kwenye mahusiano mwanamke ndo muhanga mkubwa basi mwanamke ndo anatakiwa kuchagua mtu atakaemmudu, kama mwanamke unaona yale maisha ya kisichana bado hujamalizana nayo au hauna tabia za kukufanya uwe mke mzuri basi usikubali kuolewa au ingia kwenye ndoa na mwanaume zoba ambaye unaweza kumpelekesha unavyotaka ukijichanganya kuingia kwa mwanaume mshenzi ukamtenda basi wewe ndo yatakukuta mabaya kuliko ambayo yangemkuta mwanaume kama angekutemda.. mwanaume kachagua mwanamke ambae hawezi kummudu baada ya kuzinguana kampiga kamuuza au kamuua, mwanamke kamkubalia mwanaume ambaye anammudu kwaiyo kikinuka anaweza kumcontrol., kwaiyo tuelewane hapo dada angu, kwa sababu kikinuka mwanamke ndo muhanga mkubwa basi mwanamke ndio anaepaswa kuchagua mwanaume atakaemmudu na sio vinginevyo
Uko sahihi kwa mtazamo wako

Umetoa hoja zenye fact nyingi

Ila kiafrica mwanamke ndo anachaguliwa na mwanaume anachagua.Kwa hiyo ni jukumu.lake kuchuja na kuamua kukubali yule ambaye wanaendana kulingana na vigezo vyake kama mwanamke

Pia kinature tu kummudu mwanaume anayejua position ni sio kitu rahisi labda wale wasiojielewa.

Lkn pia kimaandiko mwanamke anapaswa kutii na kumheshimu mumewe na mwanaume kumpenda mkewe.

Kwenye hizo ishu ulizosema ni kweli mwanamke ni victim mkubwa yakija maswala ya migogoro kwenye ndoa.Hizo variety, sekeseke , makeke ya mahusiano ya ndoa yapo tu na hayatakuja kuisha.

Inategemea na wenza wenyewe na namna walivyoamua kupeleka mahusiano yao maana ndoa kwa asilimia kubwa inajengwa na watu wawili wenye nia moja ya kujenga wakiwa na usaidizi wa Mungu

Ndo maana inabidi tumwombe sana Mungu kwenye hilo eneo hakuna mjanja ila tunajaribu tu kupeana mbinu ili familia ziwe stable.

Nawasilisha
 
Habari

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa

Nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk

Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa kiume

Pamoja na vigezo vyako vingi unavyoweza kuwa navyo kama uzuri, tabia, sura , mbususu tamu nk..

Ukitaka kuchagua mke/mwanamke tafuta unayemmudu na weka hiki kama moja ya kigezo kikubwa

Nikisema kummudu simaanishi kifedha tu namaanisha all aspects sababu kwa mujibu ya maandiko ya dini yangu, Mume ni kichwa hii 50/50 ndo meanza kuleta shida kwenye maisha.

Mke anapaswa kuwa mshauri mkuu na msaidizi kwa mujibu wa maandiko, ila pale ambapo mwanaume hasimamii vizuri nafasi yake kama kichwa, hapo ndipo matatizo huwa yanaanza.

Hizi story za kanipiga kizinga huwezi kuzikuta kwa mwanaume aliyemchagua mwenza anayemmudu.Ukiona uwezo wako ni wakina Mwajuma kandambili basi chagua huko, Ukiona uwezo wako ni wakina Wema Sepetu basi chagua hao, ukiona uwezo wako ni kina Jackline Mengi basi chagua type hizo.

Mmudu kifedha simaanishi kuwa tajiri hapa namaanisha yule unayeweza kuafford kwa uwezo wako. Sisi wanawake bana ni receiver by nature, hata kama ukiwa billionea trust me hela ya mume/mwanaume ni tamu jamani kama kuna anayebisha anyoshe mkono. Men are provider by nature and women are receiver by nature. Hata nature ya maumbile yanaonesha hilo kwa maana ya maumbile ya kiume yamechomoza mbele na kike ni kitundu kwa ajili ya kupokea maumbile ya kiume. Ili usipigwe vizinga vya million 3 kama kaka yangu mmoja hapa basi chagua unayemmudu na hapa si kwa mke tu hata wale mnaosakata Mbususu.

Mmudu kitabia, hapa simaanishi aliyekamilika ila ambaye unaweza kuvumilia mapungufu yake na unajua strength zake. Yule ambae akikasirika basi unaweza kumudu reaction zake, wapo wanawake wakichukia wanarusha rusha vitu ovyo kama kupasua TV, wengine wakikasirika huwa wanalia ukimhug na kumbembeleza imeisha, wapo wanaobinua mdomo kama Asha Ngedere, wapo wanaonuna..Tafuta yule ambaye unaweza kummudu kwa situation zote.

Mmudu kitandani sitapaelezea maana JF member almost wengi sana wako vzr kitandani na wana nguvu za kiume na wana PhD ya mapenzi according to nyuzi zao nyingi. Wachache tu ndo tunauwezo wa kawaida.

Naomba kuwasilisha.
Hii paragraph ya mwisho kiboko. Kuna mmoja amesema leo wti ata mashindano ya kugeggeedana watz hatutashinda maana tunapiga kelele tuu. Ulweso
 
Uko sahihi kwa mtazamo wako

Umetoa hoja zenye fact nyingi

Ila kiafrica mwanamke ndo anachaguliwa na mwanaume anachagua.Kwa hiyo ni jukumu.lake kuchuja na kuamua kukubali yule ambaye wanaendana kulingana na vigezo vyake kama mwanamke

Pia kinature tu kummudu mwanaume anayejua position ni sio kitu rahisi labda wale wasiojielewa.

Lkn pia kimaandiko mwanamke anapaswa kutii na kumheshimu mumewe na mwanaume kumpenda mkewe.

Kwenye hizo ishu ulizosema ni kweli mwanamke ni victim mkubwa yakija maswala ya migogoro kwenye ndoa.Hizo variety, sekeseke , makeke ya mahusiano ya ndoa yapo tu na hayatakuja kuisha.

Inategemea na wenza wenyewe na namna walivyoamua kupeleka mahusiano yao maana ndoa kwa asilimia kubwa inajengwa na watu wawili wenye nia moja ya kujenga wakiwa na usaidizi wa Mungu

Ndo maana inabidi tumwombe sana Mungu kwenye hilo eneo hakuna mjanja ila tunajaribu tu kupeana mbinu ili familia ziwe stable.

Nawasilisha
Ukichwa cha Mwanaume upo kwenye Jukumu la uchaguzi wa nani awe Mke wake? Na Kwamba Mwanamke hapendi bali jukumu lake kwenye ndoa ni UTII tu.. na Lingine tuendelee kumuomba Mungu...... Na inategemea na wenza jinsi walivyoamua kupeleka mahusiano yao na kuwa ndoa inajengwa kwa asilimia kubwa na watu wawili wenye nia moja ya kujenga wakiwa na usaidizi wa Mungu....

Completely responsibility ya Ukichwa cha mwanaume umepotea na kufa natural death badala yake limekuja swali la mutual understanding kwenye ndoa na Uwepo wa Maombi ya Kana kwenye ndoa.

Hivi ile harusi ya kana ambayo Yesu alitengeza mvinyo ilikuwa ya nani na Nani au bado ni fumbo la Imani.....

Mimi nimeanza kuelewa hilo la
 
Uko sahihi kwa mtazamo wako

Umetoa hoja zenye fact nyingi

Ila kiafrica mwanamke ndo anachaguliwa na mwanaume anachagua.Kwa hiyo ni jukumu.lake kuchuja na kuamua kukubali yule ambaye wanaendana kulingana na vigezo vyake kama mwanamke

Pia kinature tu kummudu mwanaume anayejua position ni sio kitu rahisi labda wale wasiojielewa.

Lkn pia kimaandiko mwanamke anapaswa kutii na kumheshimu mumewe na mwanaume kumpenda mkewe.

Kwenye hizo ishu ulizosema ni kweli mwanamke ni victim mkubwa yakija maswala ya migogoro kwenye ndoa.Hizo variety, sekeseke , makeke ya mahusiano ya ndoa yapo tu na hayatakuja kuisha.

Inategemea na wenza wenyewe na namna walivyoamua kupeleka mahusiano yao maana ndoa kwa asilimia kubwa inajengwa na watu wawili wenye nia moja ya kujenga wakiwa na usaidizi wa Mungu

Ndo maana inabidi tumwombe sana Mungu kwenye hilo eneo hakuna mjanja ila tunajaribu tu kupeana mbinu ili familia ziwe stable.

Nawasilisha
Nashukuru kwa kunielewa.. nilitaka kuwakumbusha wanawake wabadilishe fikra kwa kufikiri mwanaume ndo amchague anaemmudu ila wao hawana jukumu lolote la maamuzi, sawa mwanaume kaona wewe anaweza kukumudu lakini je wewe unaweza kummudu pia? Kummudu mwanaume simaanishi kumfulisha nguo, kumpigisha deki n.k namaanisha unajua kikomo chake cha uvumilivu?akichaluka utaweza kumtuliza? Utasema ana hela kwaiyo unamkubali unampiga matukio unasepa lakini kumbuka sio wanaume wote mabwege bwege kuna wengine hawaliwi kirahisi rahisi sasa baada ya kumpiga matukio can you handle the lest?.. mwanaume anatakiwa kumtafuta mwanamke atakaemmudu na mwanamke pia anatakiwa kumkubalia mwanaume atakaemudu yaan wote waendane lakini kwa sababu nature ya mwanaume ni ubabe basi akiumizwa kuna uwezekano mkubwa wa kuchukua maamuzi ya kutisha kuliko ambayo angechukua mwanamke kama akiumizwa basi iyo section ya kuangalia mtu unaeweza kummudu wanawake ndo wanatakiwa kuwa makini nayo zaidi
 
Kanuni ni moja tu....na ndo inafanya kazi kwa asilimia miamoja ni kula tunda kimasihara awe mwajuma sijui wema sepetu sijui nani ni mwendo wa @rikboy...ayo mengine ya kuumudu hata bilget yamemshinda...
Ila kweli Billgate si alikuwa anammudu mwanamke wake mbona kamshindwa 🤣
 
Habari

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa

Nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk

Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa kiume

Pamoja na vigezo vyako vingi unavyoweza kuwa navyo kama uzuri, tabia, sura , mbususu tamu nk..

Ukitaka kuchagua mke/mwanamke tafuta unayemmudu na weka hiki kama moja ya kigezo kikubwa

Nikisema kummudu simaanishi kifedha tu namaanisha all aspects sababu kwa mujibu ya maandiko ya dini yangu, Mume ni kichwa hii 50/50 ndo meanza kuleta shida kwenye maisha.

Mke anapaswa kuwa mshauri mkuu na msaidizi kwa mujibu wa maandiko, ila pale ambapo mwanaume hasimamii vizuri nafasi yake kama kichwa, hapo ndipo matatizo huwa yanaanza.

Hizi story za kanipiga kizinga huwezi kuzikuta kwa mwanaume aliyemchagua mwenza anayemmudu.Ukiona uwezo wako ni wakina Mwajuma kandambili basi chagua huko, Ukiona uwezo wako ni wakina Wema Sepetu basi chagua hao, ukiona uwezo wako ni kina Jackline Mengi basi chagua type hizo.

Mmudu kifedha simaanishi kuwa tajiri hapa namaanisha yule unayeweza kuafford kwa uwezo wako. Sisi wanawake bana ni receiver by nature, hata kama ukiwa billionea trust me hela ya mume/mwanaume ni tamu jamani kama kuna anayebisha anyoshe mkono. Men are provider by nature and women are receiver by nature. Hata nature ya maumbile yanaonesha hilo kwa maana ya maumbile ya kiume yamechomoza mbele na kike ni kitundu kwa ajili ya kupokea maumbile ya kiume. Ili usipigwe vizinga vya million 3 kama kaka yangu mmoja hapa basi chagua unayemmudu na hapa si kwa mke tu hata wale mnaosakata Mbususu.

Mmudu kitabia, hapa simaanishi aliyekamilika ila ambaye unaweza kuvumilia mapungufu yake na unajua strength zake. Yule ambae akikasirika basi unaweza kumudu reaction zake, wapo wanawake wakichukia wanarusha rusha vitu ovyo kama kupasua TV, wengine wakikasirika huwa wanalia ukimhug na kumbembeleza imeisha, wapo wanaobinua mdomo kama Asha Ngedere, wapo wanaonuna..Tafuta yule ambaye unaweza kummudu kwa situation zote.

Mmudu kitandani sitapaelezea maana JF member almost wengi sana wako vzr kitandani na wana nguvu za kiume na wana PhD ya mapenzi according to nyuzi zao nyingi. Wachache tu ndo tunauwezo wa kawaida.

Naomba kuwasilisha.
Nammudu huyu
 
Attachments

  • IMG-20220706-WA0012.jpg
    IMG-20220706-WA0012.jpg
    82.1 KB · Views: 11
Back
Top Bottom