Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Watu wana faili lake na Burundi! AthubutuNategemea kumuona Musukuma akiongoza maandamano ya machinga hapo makoroboini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana faili lake na Burundi! AthubutuNategemea kumuona Musukuma akiongoza maandamano ya machinga hapo makoroboini.
Hawajui kuwa kwenye nchi zetu hizi Rais ndo mwenye sauti ya mwishoSasa kwa rais aliepo wakati huo yeye alikua na nguvu gani? Lazima jambo lolote analofanya liwe linapita kwa rais wa wakati huo.
Kwa maneno rahis hakuwa kwenye position ya kuamua ishu kubwa. Boss wake alikuwa against
Alikuwa muhuni aliyeendekeza sifa za kijinga at the expense of Mambo ya msingiMagufuli alikosea kuwaacha wanaoitwa machinga wafanye shughuli zao kiholela bila utaratibu ilikuwa ni ubaguzi kwa watu wengine pia.
Wanaumizwaje? Tangu lini kufanya kitu Kwa kufuata taratibu na Sheria ikawa kuumizwa?Hii nchi buana. Mtu atoe maoni yake yanaanza kupigwa rungu. Vitisho hadi nchi yote iwe na mazuzu.
Ukweli machinga wanaumizwa. Hawakuchagua kufanya hiyo kazi ila mazingira ndio yaliyowafikisha hapo.
Ielewwkw tu kwamba Kila kitu kina maumivu na furaha.
Wakati wewe unakeleka na vibanda vyao wao walikuwa wanafurahi na kula Maisha an familia zao.
Sasa wao wanaumi wewe uanfurahi hatari.
Anyways Polepole aachwe aendelee kumilika. Haina madhara.
HaSasa kwa rais aliepo wakati huo yeye alikua na nguvu gani? Lazima jambo lolote analofanya liwe linapita kwa rais wa wakati huo.
Kwa maneno rahis hakuwa kwenye position ya kuamua ishu kubwa. Boss wake alikuwa against
Na shida ndio inaanzia hapoHawajui kuwa kwenye nchi zetu hizi Rais ndo mwenye sauti ya mwisho
Hizo id ziko chini ya Humphrey Polepole
Kazi ya serikali ni kudeal na hao wabishi na kuwaonesha ni kwa namna gani mambo yanaweza kwenda kwa kufuata utaratibuUmeeleweka vyema...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Kwa Kweli! Wanadhani wanaweza mwendesha kwa chuki zao na uzandiki wao! Kumbe wamegonga mwamba!Her Excellency Mama Samia
The best of the best🇹🇿
Mwananchi gani aneuawa? Kivipi?Mafanikio hayo?ya kuuwaa wananchi Wake kwa njaa,kisa yeye na family yake wanakula bule,hatalipa tu machozi ya wanyonge hayawezi dondoka bule
Sawa. Jambo jema. Kazi iendelee.Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda!
Kwanza poleni sana! Naona mnateseka sana pale Mama Samia anapofanikiwa jambo! Mnajaribu kuzua mambo juu ya mambo ili kumtingisha Mama wa watu ila Mungu hajamuacha!
Mlianza kusema anaongozwa na Kikwete, wimbo ukachuja mkaja na ramli kuwa upigaji umerudi, wimbo huo pia umechuja, mkaja na anaondoa watu wa Jiwe, wimbo huu pia ukachuja haraka sana kutokana na watu kuanza kuwashtukia kuwa kumbe kazi yenu ni kum sabotage Mama wa watu!
Mama akiendelea kuupiga mwingi akatoa maagizo wamachinga wapangwe ikiwa ni mwanzo wa kuanza kurekebisha miji mliyoiharibu kwa Sera zenu mfu ili kupanga upya mitaa yetu na kutengeneza jamii ya kistaarabu inayofanya shughuli zake kwa kuzingatia usafi, mipango Bora na Pia kulipa kodi!
Baada ya kuona maeneo kama Dar ambapo kwa miaka 4-5 iliharibiwa kwa uchafu wa vibanda kila kona inaanza kupendeza! Posta pananawiri, Mwenge na Ubungo wanaanza kung’aaa mmeona sasa muhamishe Magoli kujipambanua kuwa ni watetezi wa Wanyonge ili kumtingisha Mama Samia. Nia ni moja tu , kumchonganisha Mama wa watu ila kumbe ndo mnafeli vibaya!
Leo napenda kuwapa ushauri murua kabisa humu
1. Kwanza jitahidini kutofautisha kati ya machinga na ufanyaji biashara holela unaoharibu miji na kuchochea uchafu! Serikali haizuii machinga kufanya biashara, serikali inazuia ufanyaji biashara holela, usiozingatia usafi, mipango miji na unaohamasisha uharibifu wa miondombinu.
Kama mtu anaweza kujenga kibanda barabarani cha mbao chenye mfumo wa duka chenye thamani ya Shs si chini ya Laki 5 huku akiweka bidhaa zenye thamani ya si chini ya Mil 2 Au 3 mpaka 4 huyo mtu anashindwaje kupanga fremu sehemu na kufanya biashara?
Kumbukeni mtaani kuja fremu hadi za elfu 70- 100 kwa mwezi! Sasa huyu mnadhani ni machinga au mkwepa kodi?
2. Jitahidini sana kupata exposure! Jueni uholela mnaotetea ndo unaosababisha nchi kukosa mapato makubwa sana na kila siku kuonekana Kama binadamu tusiowaza vizuri!
Mfano mtu anapanga vyombo barabarani vyenye thamani ya hadi Mil 5. Je huyu ni machinga Kweli? Vyombo vya Mil 5 anauza kila siku na kuingiza faida kubwa bila kulipa hata thumni Kama kodi! Je hiyo ni sahihi? Serikali ikikalia kimya hili siku za mbeleni itakuwaje kila mtu akisema sasa afanye biashara kwa mtindo huo??
3. Kama vijijini watu wanaenda kwenye gulio kununua bidhaa, Kama hapa Tanzania kwa miaka mingi watu wamekuwa wakitembea kwenda kufuata bidhaa sehemu fulani mf. Sokoni Kariakoo, Tandika na Tandale, kwa nini isiwe sawa sasa hivi serikali inaposema hao watu wawe sehemu moja na wanajamii wakafuate bidhaa huko?
Kuna shida gani watu kwenda kufuata bidhaa kwenye hayo maeneo hadi wafanyabiashara watoke kwenye maeneo rasmi na kwenda kuwafuata watu hivyo kufunga barabara, kuongeza msongamano, kusababisha kusambaa kwa uchafu mitaani na kuharibu miundombinu ambayo imejengwa kwa gharama kubwa?
Mbona kwenye smart areas mf maeneo ya majeshi watu wanatoka kwenda kufuata bidhaa sehemu mbalimbali na wanaishi hawafi? Kwa nini isiwezekane kwa watu Wengine? Nendeni Lugalo, Twalipo na maeneo mengine ya Jeshi, Je kuna vibanda vya machinga? Je hakuna watu wanaoishi huko?
Napenda kumaliza kwa kumshauri polepole na wenzake wote! Ni vizuri mtumie muda wenu kuielimisha jamii ya Watanzania kujifunza kuishi kistaarabu, kwamba sio lazima bidhaa ikufuate, unatakiwa uifuate bidhaa ilipo ili ununue na kuitumia.
Ni vizuri mtumie akili zenu vizuri kujua kuwa hakuna mtu aliyekatazwa kufanya biashara, kinachohimizwa ni kwa namna gani biashara ifanywe huku sheria na taratibu zetu za kutunza mazingira na miji yetu zikizingatiwa na kufuatwa bila shida yeyote.
Ni vizuri mjue kuwa Serikali inataka kodi, na ujanja ujanja hasa kwenye kulipa kodi ni kitu ambacho hakiwezi vumiliwa na serikali yeyote ile makini.
Tulieni jifunzeni Uongozi kwa Mama Samia!
Kazi iendeleee 💪Sawa. Jambo jema. Kazi iendelee.
Alitaka kutuharibia sana nchi yetu yule jamaa!Hivi yule alietaka kubadilisha mfumo wa miaka mitano mitano ....ili atawale milele ndiyo kafa???
Mada inahusu wamachinga wewe unazungumzia uchaguzi. Mbona ajabu.Huyo unayemwita mama alikuwa wapi wakati hao machinga wanaruhusiwa kufanya biashara popote? Unaonekana ni bambino wa siasa.
2025 mruhusu uchaguzi huru muone matokeo yake. Propagandists.
Wamachinga hawaja zuiliwa kufanya kazi zao, bado wako mtaani na tuna waona Kila siku, au ngoja nikueleweshe, machinga ni yule anaye tembeza bidhaa zake mtaani ( matching guys) . Hawa wanao pangiwa maeneo ni wafanya biashara wasio zingatia taratibu za kibiashara ,( maeneo maalum)Hii nchi buana. Mtu atoe maoni yake yanaanza kupigwa rungu. Vitisho hadi nchi yote iwe na mazuzu.
Ukweli machinga wanaumizwa. Hawakuchagua kufanya hiyo kazi ila mazingira ndio yaliyowafikisha hapo.
Ielewwkw tu kwamba Kila kitu kina maumivu na furaha.
Wakati wewe unakeleka na vibanda vyao wao walikuwa wanafurahi na kula Maisha an familia zao.
Sasa wao wanaumi wewe uanfurahi hatari.
Anyways Polepole aachwe aendelee kumilika. Haina madhara.