Mukua
Senior Member
- Sep 30, 2021
- 157
- 203
Hujui unalo lisema, jaribu kufikiria tena bila ya kuwa na jazba.Makamu wa rais miaka 6! Kama hakuwa na sauti na akanyamaza tu basi hafai. Ninyi wapiga zumari vipofu kweli kweli. Uonevu na dhuluma hamuoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui unalo lisema, jaribu kufikiria tena bila ya kuwa na jazba.Makamu wa rais miaka 6! Kama hakuwa na sauti na akanyamaza tu basi hafai. Ninyi wapiga zumari vipofu kweli kweli. Uonevu na dhuluma hamuoni?
Kuna mijitu Ina roho mbaya Kama ya mwenda zake.Waambie hao WaTZ wanafiki na wasiopenda nchi yao, wengine wamefikia hatua hata kumuombea mother kifo...! Wakati majirani wanatamani hata wahamie mazima huku kwetu
View attachment 1985429
Sawa lakini nakumbuka alisisitiza watengenezewe maeneo ya kufanyia biashara ndipo waondolewe mabarabarani.kutenga maeneo sio kuwapeleka kwenye viwanja vya wazi bali serikali iwajibike kujenga vibanda na vizimba...ili waingie sekta rasmi.Magufuli alikosea kuwaacha wanaoitwa machinga wafanye shughuli zao kiholela bila utaratibu ilikuwa ni ubaguzi kwa watu wengine pia.
Kwa kifupi wengi ni wahuni wanaotaka mtelezo bila kulipa kodiWamachinga hawaja zuiliwa kufanya kazi zao, bado wako mtaani na tuna waona Kila siku, au ngoja nikueleweshe, machinga ni yule anaye tembeza bidhaa zake mtaani ( matching guys) . Hawa wanao pangiwa maeneo ni wafanya biashara wasio zingatia taratibu za kibiashara ,( maeneo maalum)
Mbona hakutengeneza hayo maeneo?Sawa lakini nakumbuka alisisitiza watengenezewe maeneo ya kufanyia biashara ndipo waondolewe mabarabarani.kutenga maeneo sio kuwapeleka kwenye viwanja vya wazi bali serikali iwajibike kujenga vibanda na vizimba...ili waingie sekta rasmi.
Alikuwa kwa Mtu aliyewahi kusema hashauriki na ukijaribu kumshauri ndio umeharibu kabisa hafanyi. Huyu ndiye alikuwa mwalifu mkubwa. Kwanza machinga alianza kama muhuza urembo kwa sasa amekuwa mjenzi kwa sehemu katazwi. Huyu sasa mkwepa kodiHuyo unayemwita mama alikuwa wapi wakati hao machinga wanaruhusiwa kufanya biashara popote? Unaonekana ni bambino wa siasa.
2025 mruhusu uchaguzi huru muone matokeo yake. Propagandists.
Wamachinga hawaja zuiliwa kufanya kazi zao, bado wako mtaani na tuna waona Kila siku, au ngoja nikueleweshe, machinga ni yule anaye tembeza bidhaa zake mtaani ( matching guys) . Hawa wanao pangiwa maeneo ni wafanya biashara wasio zingatia taratibu za kibiashara ,( maeneo maalum)
Yeye si ndiye alikuwa Rais alishindwa nini? Mbona kuna vitu kibao mnamsifia hata yale aliyoyakuta bado sifa mlimpa yeye sasa hilo la kutenga maeneo na kujenga hivyo vizimba lilishindikana vipi?Sawa lakini nakumbuka alisisitiza watengenezewe maeneo ya kufanyia biashara ndipo waondolewe mabarabarani.kutenga maeneo sio kuwapeleka kwenye viwanja vya wazi bali serikali iwajibike kujenga vibanda na vizimba...ili waingie sekta rasmi.
Weka ushahidiHuwezi amini mleta mada alijiapisha kwamba Lisu asipotangazwa mshindi ile oktoba 2020 ataenda kulipua ofisi zote za ccm,
Kwa upeo wako finyu na akili yako iliyojaa uchafu unaona Kuna tatizo lolote Kwa kuwapanga wamachinga?Haya maarifa yenu yatawatokea puani mdanganyeni tu Hangaya.
Mnafikiri ni hao tu machinga,?wana ndugu zao wanufaika wa hizo biashara,ni jeshi kubwa Hilo.
Akikujibu nitaggYeye si ndiye alikuwa Rais alishindwa nini? Mbona kuna vitu kibao mnamsifia hata yale aliyoyakuta bado sifa mlimpa yeye sasa hilo la kutenga maeneo na kujenga hivyo vizimba likllishindikana vipi?
Na Hilo ndo linaloenda kufanyikaSawa ,jiji limekuwa la kistaarabu, ila watafutiwe sehemu yenye tija.