Ushauri kwa Wanaotetea Machinga: Poleni sana, Mlishindwa kufanya kipindi chenu kwa kukosa maarifa! Tulieni wenye maarifa wawaoneshe inavyofanyika

Sasa kwa rais aliepo wakati huo yeye alikua na nguvu gani? Lazima jambo lolote analofanya liwe linapita kwa rais wa wakati huo.
Kwa maneno rahis hakuwa kwenye position ya kuamua ishu kubwa. Boss wake alikuwa against
Hawajui kuwa kwenye nchi zetu hizi Rais ndo mwenye sauti ya mwisho
 
Wanaumizwaje? Tangu lini kufanya kitu Kwa kufuata taratibu na Sheria ikawa kuumizwa?

Ukiambiwa kajisaidie msalani na sio barabarani unaumizwa?
 
Sasa kwa rais aliepo wakati huo yeye alikua na nguvu gani? Lazima jambo lolote analofanya liwe linapita kwa rais wa wakati huo.
Kwa maneno rahis hakuwa kwenye position ya kuamua ishu kubwa. Boss wake alikuwa against
Ha
 
Mafanikio hayo? ya kuuwaa wananchi Wake kwa njaa, kisa yeye na family yake wanakula bure, hatalipa tu machozi ya wanyonge hayawezi dondoka bule
 
Sawa. Jambo jema. Kazi iendelee.
 
Hivi yule alietaka kubadilisha mfumo wa miaka mitano mitano ....ili atawale milele ndiyo kafa???
 
Hivi yule alietaka kubadilisha mfumo wa miaka mitano mitano ....ili atawale milele ndiyo kafa???
Alitaka kutuharibia sana nchi yetu yule jamaa!

Hivi fikiria tu Kwa Mwendo ule! Ingekuwaje sasa kila mtu angeamua kufanya biashara kwa mtindo huu wa machinga? Nchi ingepata wapi mapato?

Kodi zingekuwaje?
 
Huyo unayemwita mama alikuwa wapi wakati hao machinga wanaruhusiwa kufanya biashara popote? Unaonekana ni bambino wa siasa.

2025 mruhusu uchaguzi huru muone matokeo yake. Propagandists.
Mada inahusu wamachinga wewe unazungumzia uchaguzi. Mbona ajabu.
 
Wamachinga hawaja zuiliwa kufanya kazi zao, bado wako mtaani na tuna waona Kila siku, au ngoja nikueleweshe, machinga ni yule anaye tembeza bidhaa zake mtaani ( matching guys) . Hawa wanao pangiwa maeneo ni wafanya biashara wasio zingatia taratibu za kibiashara ,( maeneo maalum)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…