Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #61
Na hili ndo shida! Watu kila kitu wanageuza siasaLazima tuwe na utaratibu, kuna watu wanatamani kila jambo liwe siasa.
Machinga wawe na maeneo maalum tutawafuata huko, miji iwe na ramani ilifika muda hata kutembea service road ni mtihani
Machinga hawezi kuwa na sehemu maalum maana bidhaa zake anatembea nazoMachinga wawe na maeneo maalum tutawafuata huko
Sifa yake kuu ni mlalamikaji asiyejielewa na aliyejaa chuki dhidi ya Mama SamiaPole×2 kawa mwanaharakati,kutwa kulalamika lialia
Ova
Arudi kwenye ngo ykeSifa yake kuu ni mlalamikaji asiyejielewa na aliyejaa chuki dhidi ya Mama Samia
Atakipata anachokitafuta! Maza alishasema ukimzingua anakuzingua kweliArudi kwenye ngo yke
Alafu mbn mama ana mleaa huyu mzee
Ova
Wewe mediocre kila wakati unawaza uchaguzi tu! CHADEMA hamna chochote kwa sasa mmepwaya sana!Huyo unayemwita mama alikuwa wapi wakati hao machinga wanaruhusiwa kufanya biashara popote? Unaonekana ni bambino wa siasa.
2025 mruhusu uchaguzi huru muone matokeo yake. Propagandists.
Nitajitolea kumtandika virungu vya ugoko🏃.Nategemea kumuona Musukuma akiongoza maandamano ya machinga hapo makoroboini.
Ukiona hivyo ndio mchawi wa kutegemewa wa lile chama chakavu la kijani na lawasiojhlikana.😂Atakipata anachokitafuta! Maza alishasema ukimzingua anakuzingua kweli
Machinga ameonewa kwenye lipi?Kwanini unaona kutetea machinga ni jambo baya? Si machinga tu bali mtu yeyote kama ikionekana anaonewa ni vizuri kupata watetezi.
Umeweka mambo kadhaa ya kujadilika kiweledi na kwa uzoefu, kama ambavyo umetaja thamani ya bidhaa ambazo machinga wanatandaza barabarani.- hoja ipo"
Pia umeeleza serikali hatua ilizochukua ikiwemo kuwatafutia machinga maeneo mengine ya kufanyia biashara.- hoja ipo"
Idadi kubwa ya machinga siyo wa mitaji hiyo uliyoisema. Kumbuka kuna mama ntilie humo na wale wauza Mo energy pale buguruni stand.
Lakini mbona hata serikali yenyewe inawatetea machinga akiwemo rais mwenyewe? Kwanini uweke mipasho kama vile machinga ni watu wa kukataliwa?
Mimi binafsi napenda kutetea watu wanaotaabika lakini simo kwenye hizo songombingo zenu na akina polepole.
Wengine hii ni nature yetu kumtetea au kumsaidia yeyote anayetaabika.
Edit huu uzi, ondoa machinga waweke watu wako halafu wapige mawe unayotaka.
🤣🤣Nitajitolea kumtandika virungu vya ugoko🏃.
Sijasema wameonewa bali kuwatetea ni jambo la msingi kama ambavyo mtu yeyote angependa atetewe pindi akifeel kuwa anaonewa.Machinga ameonewa kwenye lipi?