Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

mchepuko akijua una mke ndo nuksi inaanza, mwingine ataiba namba ya mkeo amtafute ukizingua lazima aku-blackmail. Kwanza utachukuaje mchepuko mtaa unaoishi? Kama unakaa Kigamboni chukua mchepuko Kimara , siku moja moja vaa pete ya ndoa hata kama huwa huvai atajiongeza mwenyewe baadaye unajipigia tu na yeye ashajiongeza una mke, sasa amjue mke wako umeambiwa ni ndugu?
 
Hiyo inategemea na level ya maturity ya huyo mchepuko
 
Hiyo inategemea na level ya maturity ya huyo mchepuko
Ishanitokea wakati naishi kigeto geto ! Nilikosea kumpeleka geto na anajua ni wangu ambaye ni serious, siku mwenyewe akaja akavamia getoni na kuanza mhusika mwenyewe ,nikachukua defender na kumweka ndani kwa siku moja ,alipotoka hata msg hajawahi kutuma tena achilia mbali kuleta makanyagio yake getoni.
 
Mna tamaa na kukimbilia kuvua vyupi kwa ahadi bila kuchunguza kwanza...unatongozwa leo leo ,unapewa ahadi leo na unavua kyupi na kuweka miguu juu kama popo leo leo, huyo mwanaume atakuwa mjinga akikuoa.
Ni kweli kabisa sio uongoo . Ila wewe mume wa mtu unaambiwa usizini,unazini usimtamani mkewa jirani yako unamtani,umeoa ila huwezi kutoshawishika ukioa tayari umeamua kufocus na maisha ya ndoa namwezi wako umetokea wapi kusex na mtu nje ya ndoa ungebaki huko huko.
Kuvua kiyupi siku hiyo hiyo hujui mwenzio hajatongozwa miaka mingapi ukaja wewe akatae tena siatakufa na hamu zake.
 
Haha, me niliishigi na mwanamke for 3yrs kama mke na mume ila tuliachana mwaka jana nilifuma messages za yeye na mchepuko wake (sponsor) mwanamke anamwambia Sponsor kuwa hana mtu na hapo alipo anaishi kwa Uncle wake, Yaani kwangu mimi ndo kwa uncle wake kwahiyo mimi ni uncle kwake "Oyaaaa we malaya toa nje vitu vyako sitaki kukuona mbele ya macho yangu..."
 
sasa kwanini mnasingizia kwamba mnadanganywa wakati mna minyege , we elewa tu huu ni uwongo mtoane minyege
 
Katika uislam uongo aina 3 umeruhusiwa kwenye UISLAM.
Moja wapo mume kumdanganya mkewe.
Mungu anajua alivyoziumba akili zenu na anajua yule nyoka alimwambia Nini mama yenu hawa
 
Hawa viumbe vp, mmesahau kama kudanganywa ni asili yenu? Mwanamke bila kumdanganya humpati ng’o. Na kuna mwingine unamweleza ukweli ila hakatai ombi lako anakubaliana na mwanaume mi kama mwanaume nimkatae.
Na mwanaume aliyeoa anajua kutunza mchepuko kuliko hawa single
 
Shida mnapenda sana uongo kuliko ukweli na mkiambiwa ukweli mnachomoa! Sasa nani yuko tayari akose mbususu kwa kuongea ukweli!
 
ukieleza ukweli upati kitu, speaking from experience
 
Sikuhz watu hawana hofu ya Mungu kabisa wamejisahaulisha kama uongo ni dhambi, na pia wanahofia kusema ni Mme wa mtu coz hawatokubaliwa kirahisi[emoji848]
pole mummy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…