Uchaguzi 2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

Ushauri wako ameukataa, amestuka kwamba ninyi ndiyo mnaompotosha, mnmlazimisha kufanya vitu nje ya uwezo wake. Kama hapa unamshauri agombee urais wakati hata vigezo vya urais hamvijui halafu hata yeye hana. Mlishampotosha kuhusu ubunge wakati angeshinda asubuhi watu wangeamkia mahakamani kumpinga kwa sababu ya kutokidhi vigezo na forgery.
Wana Kigamboni wamemsaidia kujua uwezo wake ulipo, either ajiunge na team Gwajima au aanzishe lake.
View attachment 1522440
Kama namuelewa lakini😋
 
Eti "mwanasiasa mahiri" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

1. Mkuu wa Wilaya - Kinondoni
2. Mkuu wa mkoa - Dar es Salaam



Siasa ya ajabu sana. Huyu anaweza kugombea udiwani na asipate.
Yanii Bashite na Musiba wanatakiwa wafugwe tu kama mbuzi au Nguruwe huko Chamwino,baba yao awe anaamka anawauliza tu wasaidi wake "mmeshawapa chakula"? " Na maji je"? Awape na laptop na bundle ya mpaka 2025 then after awahamishie Chato maana tofauti na hapo watakufa kifo kibaya Sana kupita Cha Ben Saanane
 
Atuwekee vyeti kuanzia fomu foo hadi degree, hatuwezi kukubali ujanja ujanja.
 
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.

Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".

Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.

Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.

Makonda amua sasa au kaa kimya milele

Ndimi
Mjumbe
Kigezo cha elimu hana.. kwa urais lzm awe na shahada ya chuo kikuu, yeye naskia ni Kama kibajaj na msukuma
 
Back
Top Bottom