Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Jiji la Dar lina mambo mengi, lina mazuri na mabaya yake, ila kuna vyanzo vya mapato vingi tu havitumili, uboreshaji na kero zingine wengine twaona ni za kujitakia na Mh. Makonda lazima, narudia lazima azikemee kwa wahusika na kuzipiga marufuku kabisa, mnakaribishwa wengine kuziorodhesha pia...
  • Walinzi, wakati wa usiku hasa, kufunga funga makamba kwenye pavements kwenye majengo wanayolinda ETI TUSIPITE NA KUCHAFUA!
  • Uhaba wa vyoo mjini, hasa usiku na kufanya watu kujisaidia kwenye miti, pembezoni mwa barabara na kufanya Mji wetu kunuka!..
  • Uhaba wa sehemu za kujipumzikia wakati wa jua kali, lunch time na hata jioni, hasa pembezoni mwa bahari kama Ocean Rd n.k. (na uhaba wa vyoo)...
  • Takataka, kuanzia mifuko, karatasi, vifunganishi vya bidhaa n.k. (je tuanze kupigwa faini kuzingatia sheria bila shuruti?!)
  • Uhaba wa Parking za magari, kuna majengo mengi yameshushwa chini yakisubiri ujenzi uanze, kwanini hizo sehemu hazigeuzwi Parking za muda kwa magari?!
  • Tena Parking, Mh. Makonda, please tafuta wawekezaji wadondoshe magorofa matatu na kuendelea mjini, mbona pesa ipo kwenye mifuko ya Manispaa?!
  • Taa barabarani, tutumie Solar Mh. Makonda, jiji litawaka usiku kama mchana na kufukuza vibaka au watu wenye nia mbaya kwa wenzao (kama dada poa!)
  • Congestion charges kwa magari yaingiayo katikati ya jiji inatakiwa, sababu hatuoni sababu ya magari yaningie mjini kabisa, at least Pedestrians na waendesha basikeli watapata ahueni na kupunguza CO mjini...
  • Tuongeze "Dustbins" mjini, na ziwe zinachukuliwa alfajiri sana kabla hatujaingia mjini...
  • Bado hatujaelewa kwanini "Night Clubs" zinaruhusiwa kwenye Residential Areas (Tipys, Elements, Samaki Samaki, Hangover, 40-40, Le Charlz, Havoc, PapiChuro n.k.n.k.) Kwanini hizi sehemu za starehe zisiletwe mjini kabisa, na tena kama magari yatakuwa hayaingii mjini mbona itakuwa vyema kwa "revellers".. n kuufanya mji kuchangamka usiku, bishara za chakula, Taxi n.k. kukua?
  • Tena Mh. Makonda, tafadhali tafadhali, tutumie hili Jua kali kwa faida yetu, "Solar Lights" lingeimairisha Ulinzi na Usalama na kuleta mambo kem kem...
  • Telephone Booths, TTCL waliweka zamani, zimeenda wapi?! Kwa kweli Jiji letu laweza kuiletea Manispaa hela nyingi tu...
  • ...
Na nyie wekeni kero zenu tafadhali...
Karibuni
 
Jambo la huzuni sana unapotengeneza sehemu yako asbh unakutana na mtu anataka kukulipisha parking aipendezi tukague sehemu za kulipishana wapendwa

Rainbow Mbezi Beach mkabala na oil com kuna pharmacy na maduka. Mengine hii n sehemu ya mtu mwaka wa15 akuna mtu aliekuja kudai parking fee

Leo hio kampuni sijui ya wapi naamini manispaa mnaijua imejaza watoto wakike mtu anakuja kuulizia dawa kununua dawa vinakimbilia kuweeka karatasi

Watanzania atujawa wajinga kiasi hiko na ndio maana watu wanaondoka na makaratasi yenu bila kulipa. Na mkome kabisa eneo la watu liheshimiwe ipo siku mtatuletea kampuni nje ya majumba yetu kila anaetoka getini alipe

Haipendezi kabisa hii kampuni ipewe kikomo cha sehemu za kazi hii n hataree sana sana mh a maana wale madada wanaishia kulia tu hakuna analipa na wakiwa wanaomba makaratasi yao watu wanageuka na kuondoka nayo

Sote n watanzania ipo siku mtakuja makanisanj kudai parking fee ama msikitini

Tusiruhusu hili hata kidogo

Tuheshimu sehemu ya mtu sio kila sehemu n ya kukimbilia kudai parking fee
 
Khe! Tumefikia huku?? Sasa kama parking ya mwnye duka napo unalipia je zile parking za manispaa zifanywe nini??? Nahisi kuna mkono wa mtu uko hapo otherwise wenye hayo maduka wawaeleze vzuri na ikiwezekana wawatimue hao wadada maana watawafukuza nyie wateja
 
Ubunifu wa chama umefika kikomo, hata hizi tozo za parking ilipaswa kuwa ni kwa sehemu ambazo city manispaa wamezijenga kwa ajili ya parking, sio mtu kapaki shemu ambayo hata haijaendelezwa unalipisha ili iweje? umewekeza nini ili ukamue hayo maziwa? TUMETENGENEZA KIZAZI I MEAN CHA SERIKALI ZINAZODAI MAPATO SAWA NA UTAPELI
 
Khe! Tumefikia huku?? Sasa kama parking ya mwnye duka napo unalipia je zile parking za manispaa zifanywe nini??? Nahisi kuna mkono wa mtu uko hapo otherwise wenye hayo maduka wawaeleze vzuri na ikiwezekana wawatimue hao wadada maana watawafukuza nyie wateja
ILE PHARMACY USIPAKI ENEO LILR KAKA WANAWAKE WANA VIKOTI KAMA WAFAGIAJI WA MANISPAA WANAKIMBILIA KILA GARI INASIKITISHA SANA
NATOKA HAPO

NKAMWAMBIA DADA HII NCHI ATUJAFIKA HUKO HUKU NAONDOA GARI AKAOMBA NAOMBA NTOE KARATASI BASI USINTIE HASARA
TUKATAEEE HUU N UKATILI MKUBWAA USIOKUBALIKA
 
Khe! Tumefikia huku?? Sasa kama parking ya mwnye duka napo unalipia je zile parking za manispaa zifanywe nini??? Nahisi kuna mkono wa mtu uko hapo otherwise wenye hayo maduka wawaeleze vzuri na ikiwezekana wawatimue hao wadada maana watawafukuza nyie wateja
UPUUZI KABISAAA
NIMEONGEA NA MHUSIKA ANAKWAMBIA KILA SIKU WANAWEKA NA MM RCT ANGALIA PALE JUU SIJAWAHI LIPA LABDA NIHAME NKAMWAMBIA HAWA MUWAONDOE ITISHEN VIJANA KABISA WAKIFIKA WAPIGIWE UKUNGA

MTAKUJA NA VYUMBAN MWETU SASA KILA SEX TULIPIE NA N WANANDOA
 
Na ndiko wanakolekea hawa viumbe mwishowe tutaambiwa tukatie risit hata tendo la ndoa
 
Kama ungekuwa mkuu wa mkoa wa DaresSalaam ungeanza na kitu gani DaresSalaam ili kulifanya jiji liwe Bora?
 
Chidi benI alimaliza kila kitu kwenye video yake aiweke hapa.
 
View attachment 362981

mkuu wa mkoa unatakiwa kufuata sheria ya barabara kwa kuwaonyesha mfano wananchi hapo haujafunga mkanda ni kosa kubwa sana kama trafiki akikushika ni sawa na yule mke wa waziri na trafiki aliyerushiwa maneno.Jaribu kuwa mstari wa mbele kuwaonyesha wananchi sio kuvunja sheria.

swissme
@w.j malecela
 
1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji

2.kupambana na ushoga.usagaji.

3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi

4.Utelekezaji wa watoto na familia

5.usafi wa mazingira ya jiji

MY TAKE

Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki
Exactly!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafki wanataka kutudanganya kuwa makonda Ana ugomvi binafsi na aliowataja..wakati ukweli Ni kuwa kikwete Rais aliwahi kusema wakitajwa nchi itatikisika.nani asiyejua Kama billicanas ilikuwa Kuna biashara ya ngada.wasanii baadhi wakiuziwa na mabaunsa na wazungu wa pale.yasemwayo yote yapo.tatizo vyombo vya habari nchini vinatumika na matajiri kuficha maovu.viache kushabikia upotofu
 
Makonda alianza kuchukiwa alipo teuliwa kuwa DC, tangu alivyo mpiga Jaji Warioba pale kwenye ukumbi wa Mwl Nyerere

2.jpg
 
1.Chuki dhidi ya Makonda ilianza pale alipompiga hadharani mzee Wariyoba aliyetaka kutuletea katiba ya wananchi.
2.Alipoenda kulilia kanisani badala ya kuweka hadharani vyeti vyake vya kitaaluma.
3. Alipovamia clouds media na kuwadhalilisha watangazaji pasipo kuwa na sababu za msingi
 
1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji

2.kupambana na ushoga.usagaji.

3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi

4.Utelekezaji wa watoto na familia

5.usafi wa mazingira ya jiji

MY TAKE

Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki
Nadhani alichukiwa zaidi kwa style yake ya utendaji na kauli zake flani flani hivi ha ha
 
Makonda alianza kuchukiwa alipo teuliwa kuwa DC, tangu alivyo mpiga Jaji Warioba pale kwenye ukumbi wa Mwl Nyerere

2.jpg
Na hiyo laana ya kumpiga mzee wa watu itamwandama mpaka anaingia kaburini ndio maana kila analolifanya linaonekana baya hata kama lilikuwa na nia njema
 
1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji

2.kupambana na ushoga.usagaji.

3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi

4.Utelekezaji wa watoto na familia

5.usafi wa mazingira ya jiji

MY TAKE

Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki

Hata kama ni kweli, nchi ina sheria na taratibu. Alichofanya ni kielelezo cha mtu kuwa na madarka lakini ukakosa maarifa!

Ndiyo maana mambo yao siyo endelevu kwa saɓaɓu ƴamejengwa katika misingi ƴa ujinga na chuki!
 
1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji

2.kupambana na ushoga.usagaji.

3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi

4.Utelekezaji wa watoto na familia

5.usafi wa mazingira ya jiji

MY TAKE

Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki
Kumbe bashite ndo unaandika senseless alwayz.....Aiseee ndo mana unatoa ushuzi tu
 
Back
Top Bottom