Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Hata katika kundi la wajinga huwa kunakuwa na geniusMara nyingi nimekuwa sipendi mambo anayofanya Paul Makonda ila katika hili la Mashoga nakubaliana nae 100%.
Nasema huyu kijana ni Genius kwa sababu ndiye mtu maarufu ambaye kwasasa kila mu Tanzania anamuongelea hata kama mengine yake ni ya hovyo katika hili la Mashoga TUMUUNGE MKONO.