Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Suala la Mashoga kama kweli ulidhamiria kulimaliza au hata kulipunguza ni lazima Moto wake uwe mkali kabisa na usizimike kirahisi.

Ili Mwanaume Shoga awe amekamilisha zoezi hilo ni lazima pawe na Mwanaume Mwingine maarufu kwa jina la Basha anayeshiriki kukamilisha kitendo kiovu cha Ulawiti kinyume na sheria za nchi yetu.

Nini Cha kufanya ;
Ni lazima sasa utumie kanuni ya Sukuma ndani:-

Kamata Shoga Sukuma ndani,

Kamata Basha wake Sukuma ndani,

Kamata Mhudumu wa Gesti walikofanyia Sukuma ndani ,

Kamata na mmiliki wa Gesti Sukuma ndani mana hakuweka taratibu za kuzuia wavunja sheria hao kutumia Gest yake.

Kamata Majirani wa eneo lilipotokea hilo tukio la ulawiti Sukuma ndani.

Kamata wazazi wa Kijana Shoga kama hawakufuatilia mwenyendo wa Kijana wao sukuma ndani.

Kamata Marafiki wa karibu wa mashoga na mabasha Sukuma ndani.

Kamata mwenye duka la pampas anayemuuzia Shoga Sukuma ndani.

Kamata Fundi Cherehani anayemshonea nguo Shoga sukuma ndani,

Kamata dereva wa Bodaboda au Taxi anayembeba Shoga au Basha kumpeleka wanakoenda kufanyia hilo tendo Sukuma ndani.

Zoezi hilo likifanyika vizuri kwa kanuni ya sukuma ndani baada ya Muda tutasikia tu kuwa hivyo vitendo viliwahi kufanyika na vinafanyika kwenye nchi nyingine lakini sio Tanzania hasa Dar es salaam.

Ni lazima hili zoezi liwe siriazi na endelevu mana ni jambo baya na ni kinyume na sheria za nchi yetu na mila zetu na dini zetu.
Lakini pia nasema hivyo kwa sababu mwanzoni hayo matendo tulisikia tu kama tetesi mana yalifanyika kwa kujificha lakini siku hizi yanafanyika kama fasheni bila kujali kuwa ni kinyume cha sheria za nchi na watu wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao kama vile ni jambo la jema la kuigwa wakati ni jambo la kijinai kinyume na sheria zetu.

Waache kulalamika mana Wao ndio wamaejitangazia vita kwa kuanza kutangaza uhalifu wao kwenye mitandao, kwa hiyo Mh. Mkuu wa Mkoa mtu asikulaumu na wala usitishike kwa hili .
Nakuunga mkono kwa asilimia 100.
[emoji23][emoji23][emoji23] af wakifika ndani unawauliza "Kwani mnateseka?"
 
Yeye mwenyewe ana tuhuma za ushoga, atuthibitishie kwanza kwamba sio kweli.. His credibility is at stake hapa..
 
Ukipewa kazi ya kujikamata, utaweza?
Ni kazi ya vyombo vya dola kukamata na kuzuia uhalifu kutendeka.
Lakini pia RAIA yeyote anawajibu wa kumkamata mhalifu anapotenda kosa LA jinai mbele yake.
Kwa hiyo hapo hakuna suala LA MTU kujikamata na kujisukuma ndani bali ni kukamatwa na kusukumwa ndani ikiwemo wale wanawake wanaofunga mikufu miguuni nao pia sukuma ndani.
 
Kila aina ya hatua anayochukua Paul Makonda imekuwa mwiba kwa wasiyoyatakia mema maisha ya vijana wa kitanzania, kwanza katika vita vya dawa za kulevya na sasa vita dhidi ya mashoga (homosexuality).

Watanzania hatuwezi kuona maadili ya vijana wetu yakizidi kuharibika.

Mheshimiwa Paul Makonda utaendelea kukumbukwa kama kiongozi shupavu kwa maamuzi ya kupinga maovu yote mabaya katika mkoa wa Dar Usivunjike Moyo pambana mpaka dakika za mwisho.
 
Mara nyingi nimekuwa sipendi mambo anayofanya Paul Makonda ila katika hili la Mashoga nakubaliana nae 100%.
Nasema huyu kijana ni Genius kwa sababu ndiye mtu maarufu ambaye kwasasa kila mu Tanzania anamuongelea hata kama mengine yake ni ya hovyo katika hili la Mashoga TUMUUNGE MKONO.
 
Hey you SIMPLETON!! Tuanzie hapa!! "TANZANIA MTU AKIWA MAARUFU AKAONGELEWA NA KILA MTU KWAKO UNAM - REGARD kuwa GENIUS??" nani kakwambia mashoga una-deal nao kwa kutumia nguvu na vitisho??
 
Mara nyingi nimekuwa sipendi mambo anayofanya Paul Makonda ila katika hili la Mashoga nakubaliana nae 100%.
Nasema huyu kijana ni Genius kwa sababu ndiye mtu maarufu ambaye kwasasa kila mu Tanzania anamuongelea hata kama mengine yake ni ya hovyo katika hili la Mashoga TUMUUNGE MKONO.
Labda genius wa kupata Zero
 
Makonda ni Genius kweli, ila kwa kuwa anagusa maslahi ya watu lazima wahusika wampinge tu.
 
You'd better hide, the garbage collecter is coming
 
Mara nyingi nimekuwa sipendi mambo anayofanya Paul Makonda ila katika hili la Mashoga nakubaliana nae 100%.
Nasema huyu kijana ni Genius kwa sababu ndiye mtu maarufu ambaye kwasasa kila mu Tanzania anamuongelea hata kama mengine yake ni ya hovyo katika hili la Mashoga TUMUUNGE MKONO.
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa hili tusiteteleke kabisa we must say No.wacha wampinge ila mimi nampa support 100%.
 
Back
Top Bottom