antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kung'oka ma-conder utasubiri sana...
Mbona anachapa kazi sana tu juzi alikuwa kwenye birthday TandaleWadau kinachoendelea katika jiji letu kuu hatukielewi
Mkuu wa mkoa huu ni dhahiri kuwa ameshindwa kazi aliyopewa na mh Rais
Mkoa wa Dar umekuwa na matukio ya ajabu ajabu ,watu kutekwa ovyo,si wanasiasa,si wafanyabiashara,si wanamuziki,si watoto,sasa kila aina ya mtu anaweza kutekwa Dar na mkuu wa mkoa yupo tu ofisini
Mkuu wa mkoa hata kusimamia Udart umeshindwa wananchi wanateseka unakula keki ofisini,yaani mkuu wa mkoa yupo active kwenye mambo ya wasanii kuliko mambo ya umma
Mkuu wa mkoa Paul Makonda ajitathimini kama anafaa kuwepo kwenye hiyo nafasi au mh Rais amhamishie mkoa mwingine au amuachishe kazi
[emoji848]Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana utendaji wa Rcs, nashawishika kuamini kwamba Makonda ni mmoja wa Rcs bora kuwahi kutokea katika jiji la Dsm. Na ni mfano wa kuigwa na Rcs wengine, si maanishi anawazidi, maana yangu ukiangalia na ukubwa na changamoto zilizoko Dsm. Agrey Mani, anafanya Vizuri. Gambo, Hapi, Robert Gabriel wa Geita, n.k. ukimuona anampinga basi tambua ana lake jambo
Anthony Mtaka anafanya vizuri sana, usimsahau!Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana utendaji wa Rcs, nashawishika kuamini kwamba Makonda ni mmoja wa Rcs bora kuwahi kutokea katika jiji la Dsm. Na ni mfano wa kuigwa na Rcs wengine, si maanishi anawazidi, maana yangu ukiangalia na ukubwa na changamoto zilizoko Dsm. Agrey Mani, anafanya Vizuri. Gambo, Hapi, Robert Gabriel wa Geita, n.k. ukimuona anampinga basi tambua ana lake jambo
Changia mada acha comments zako za kishabikiWe utakuwa ni Gasho, au mvuta shashi
Mbona umecomment hata dakika haijapitaChangia mada acha comments zako za kishabiki
Mimi muanzisha Uzi kila mtu akikomenti nampa sapotiMbona umecomment hata dakika haijapita
Kuna uwezekano huoTATIZO LA HARAKATI NYINGI ZA MAKONDA HUWA ZINAKUWA ZINALENGA KUWADHALILISHA WATU FULANI EITHER VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI, VIONGOZI WA DINI AU VIONGOZI WA TAASISI AMBAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE HUWA WAMETOFAUTIANA NA SERIKALI/MAKONDA MWENYEWE.
Ukute na wengine anawalipa ili wajitokezeTATIZO LA HARAKATI NYINGI ZA MAKONDA HUWA ZINAKUWA ZINALENGA KUWADHALILISHA WATU FULANI EITHER VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI, VIONGOZI WA DINI AU VIONGOZI WA TAASISI AMBAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE HUWA WAMETOFAUTIANA NA SERIKALI/MAKONDA MWENYEWE.