Lack of thinking capacity more likely.Habari wana JF Siasa.
Mada hapo juu yajitanabaisha. Kila analotaka Kushughulikia mheshimiwa RC Makonda huishia pabaya huku watu wakiumizwa, kudhalilishwa, kugawanywa na jamii kupasuka vipande.
Mathalan,
1. Madawa ya kulevya.
2.Wanawake waliotekelezewa watoto.
3. Sakata la sasa la Mashoga na watu wengine wa jinsia moja.
Karibuni tuchangie.
DuuuhhUkute na wengine anawalipa ili wajitokeze
It might be. Migogoro mingi kwenye mipango yake.Lack of thinking capacity more likely.
Kiki za kuleta taharuki na kuisha bila mafanikio chanyaAnaanzisha jambo ambalo la kijinga, hata mtoto wa miaka mitano lazima ashangae, maana tangi. awe rc hakuna la maana ambalo amefanya zaid ya kutafuta kiki.
Liliishia wapiUmesahau la lile la kupima tezi dume kwa lazima wanaume wote wa dar
Bila shaka kacheza na akili zetu na kutambua hiloKwa sababu wajinga na waerevu hawatoisha katika jamii.
Upeo mdogo. Full stopHabari wana JF Siasa.
Mada hapo juu yajitanabaisha. Kila analotaka Kushughulikia mheshimiwa RC Makonda huishia pabaya huku watu wakiumizwa, kudhalilishwa, kugawanywa na jamii kupasuka vipande.
Mathalan,
1. Madawa ya kulevya.
2.Wanawake waliotekelezewa watoto.
3. Sakata la sasa la Mashoga na watu wengine wa jinsia moja.
Karibuni tuchangie.
Naunga mkono hoja yako ukifuatilia matukio yote anayoleta huyu lofa kuanzia madawa, shisha, waliotelekeza watoto, Tezi dume kwa wanaume wa dar, na sasa mashoga ni kuwafanya watu waache kujadili issues mfano issue ya tr 1.5 imerudi anaibua ili watu wasijadili ufisadi huu.Yupo kwaajili ya kuhamisha watu ktk ajenda nzito ya kitaifa kama vile utekaji nk.Badala yake watu wanahamia ktk mijadala ya kipuuzi.