mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 686
ILE PHARMACY USIPAKI ENEO LILR KAKA WANAWAKE WANA VIKOTI KAMA WAFAGIAJI WA MANISPAA WANAKIMBILIA KILA GARI INASIKITISHA SANAKhe! Tumefikia huku?? Sasa kama parking ya mwnye duka napo unalipia je zile parking za manispaa zifanywe nini??? Nahisi kuna mkono wa mtu uko hapo otherwise wenye hayo maduka wawaeleze vzuri na ikiwezekana wawatimue hao wadada maana watawafukuza nyie wateja
UPUUZI KABISAAAKhe! Tumefikia huku?? Sasa kama parking ya mwnye duka napo unalipia je zile parking za manispaa zifanywe nini??? Nahisi kuna mkono wa mtu uko hapo otherwise wenye hayo maduka wawaeleze vzuri na ikiwezekana wawatimue hao wadada maana watawafukuza nyie wateja
Na ndiko wanakolekea hawa viumbe mwishowe tutaambiwa tukatie risit hata tendo la ndoaUPUUZI KABISAAA
NIMEONGEA NA MHUSIKA ANAKWAMBIA KILA SIKU WANAWEKA NA MM RCT ANGALIA PALE JUU SIJAWAHI LIPA LABDA NIHAME NKAMWAMBIA HAWA MUWAONDOE ITISHEN VIJANA KABISA WAKIFIKA WAPIGIWE UKUNGA
MTAKUJA NA VYUMBAN MWETU SASA KILA SEX TULIPIE NA N WANANDOA
@w.j malecelaView attachment 362981
mkuu wa mkoa unatakiwa kufuata sheria ya barabara kwa kuwaonyesha mfano wananchi hapo haujafunga mkanda ni kosa kubwa sana kama trafiki akikushika ni sawa na yule mke wa waziri na trafiki aliyerushiwa maneno.Jaribu kuwa mstari wa mbele kuwaonyesha wananchi sio kuvunja sheria.
swissme
Exactly!1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji
2.kupambana na ushoga.usagaji.
3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi
4.Utelekezaji wa watoto na familia
5.usafi wa mazingira ya jiji
MY TAKE
Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki
Nadhani alichukiwa zaidi kwa style yake ya utendaji na kauli zake flani flani hivi ha ha1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji
2.kupambana na ushoga.usagaji.
3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi
4.Utelekezaji wa watoto na familia
5.usafi wa mazingira ya jiji
MY TAKE
Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki
Na hiyo laana ya kumpiga mzee wa watu itamwandama mpaka anaingia kaburini ndio maana kila analolifanya linaonekana baya hata kama lilikuwa na nia njemaMakonda alianza kuchukiwa alipo teuliwa kuwa DC, tangu alivyo mpiga Jaji Warioba pale kwenye ukumbi wa Mwl Nyerere
1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji
2.kupambana na ushoga.usagaji.
3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi
4.Utelekezaji wa watoto na familia
5.usafi wa mazingira ya jiji
MY TAKE
Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki
Kumbe bashite ndo unaandika senseless alwayz.....Aiseee ndo mana unatoa ushuzi tu1.alipotaja walanguzi wa madawa ya kulevya ,safirishaji.wauzaji na watumiaji
2.kupambana na ushoga.usagaji.
3.wauzaji wa viwanja vya wanyonge ,kupambana na dhurma ya ardhi
4.Utelekezaji wa watoto na familia
5.usafi wa mazingira ya jiji
MY TAKE
Kama kunamtu anamchukia mh.makonda jua moja kati ya hizi tabia anashiriki