Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Vijiwe vya pombe ni poa lakini vya kahawa tatizo?

Kila nchi ina utamaduni wake, nchi zingine utamaduni wao kutwangana risasi sasa unataka wakae nje sehemu gani wanywe kahawa kwa amani?

Kahawa zipo na zitaendelea kuwepo, kahawa tunakunywa kwenye sehemu salama kama cafe, na nilipoandika sikumaanisha kuwa BAA ziendelee umetafsiri vibaya.
 
Huu ni ushauri mzuri sana, na mimi naongezea ashirikiane na viongozi waliochaguliwa na sisi wananchi bila kujali vyama vyao sio kujenga uhasama, anazidi kuwakwaza wananchi
 
Hata mtu anapoomba kazi uulizwa ni nini anapenda kufanya katika maishaya hobbies na upendo wa mengine nje ya kazi kama ya ku socialize, sasa hii kwani nyo unaona ni mnbaya wakati ndio moja ya kuweka hta kumpa mtu maksi 99.999999999% kwa kipengele hicho.

Hao wanaokaa kama hawana maisha ndio maana wanaishikuwa vilaza hata na madegree kichwani inakuwa bure kabisaaaaa
 
TokA Paul Makonda ametangaza vita dhidi ya ushoga amepata upinzani mkubwa sana.
 
TokA Paul Makonda ametangaza vita dhidi ya ushoga amepata upinzani mkubwa badala ya kubeza wenzio hebu tuambie kati ya amri zote alizotoa ni ipi imefanikiwa? usafi?ombaomba?shisha?ushoga?uchangudoa? madanguro? na hii ya msako?
nyie ndio mnasababisha asijirekebishe maana hata akikosea kazi yenu ni kumtetea tu.
 
Nafkiri ni rahisi sana hii issue......Meya yeye atoe tangazo lake tuu aseme kwamba vijana woote wasio na kazi wajitokeze kesho kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam..then wakifika pale makonda aambiwe hamna haja ya kusumbuka vijana ndio hawa haina haja ya nyumba to nyumba
 
mtoa maada uko vizuri sana,mi nafikiri makonda ndo mkuu wa mkoa aliyevunja rekodi kutoa matamko duniani.hivi hana mke wa kushauriana nae anapoamka asubuhi??
Hawa ni wale wasiosikiliza wake zao kwa kudhani kuwa wanawake ni mama wa nyumbani wasiokuwa na ushauri wa maana.
 
Kuna kimoja kinaitwa shibam,kiko magomeni sogea pale usikie habari za mjini.
 
Ili iweje xx awape kazi ama hahhahaahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…