Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

kadri mnavyoshupalia hili jambo ndivyo tunavyozidi kuifahamu dhamira yenu mwacheni amalizane na wauza unga then mtahukumu cheti chake.....madawa yanaua nguvu kazi na future ya Tz...kuliko hiko cheti chake.....

I think unahitaji maombi mkuu
 
Mbona ishu ya madawa alisha kabidhi kwenye kitengo husika, au huku sikia na kuona anavo mkabidhi muhusika? Ambacho hajakabidhi mpaka sasa ni vyeti tu ndo maana tunamuomba akatuletee ili tuweke kwenye faili lake huku utumishi.
Umemwandikia barua?
 
Huyu hana ujanja tena. Majivuno na mikogo yote imefika kikomo. Anaona aibu, hajiamini, anazubaa, sasa anajikomba hata kwa wasaidizi wake, ni kama nyoka aliyekosa sumu ndani yake. Haoni umuhimu wa kuishi. Shutuma ya kuiba cheti imeathiri maono yake.
Kwani haingii ofisini?
 
ukiitwa kuripoti central ndio unaanza kuhoji what does it mean?

Huko central unapaona ni mahali pa kutisha? Umetoa maoni yako acha wengine nao wamwagike. Eti central, nyie ndio mnawatumia polisi kama maroboti kuficha udhaifu kisha wakienda mahakani wadhibitishe huo ubazazi wenu wanaishia kujiumauma. Tena ww unaonekana utakuwa mtoto wa mama unayedhani polisi ama jela ni jehenamu.
 
Yaani hata wamsafishaje hasafishiki hata kwa OMO,halafu ni Foolish zote hakuna hata Sport
kama lowassa alisafishwa na waliomchafua..tena akawa msafiii..rais wa mioyo yao...sembuse bashite...
 
Mambo haya yote yametokana na mtu kuitwa central, kuna watu wananunua ugomvi, wanamchumkia mtu bila ya uthibitisho .
 
70% ya wafanya kazi wote wanavyet visivyo vyao.
Nashangaa kumkaa makonda.
Hakuna haja ya visas, chuki za gwajima na makonda hazituhusu kama watanzania . Tuna mambo mengi ya kujadili hapa na syo chuki.

Gwajima kuongea haimaanishi ndio kila kitu, or ndio bichwa lako liamini.

Acheni kutetea ujinga.

Yaani mtu anatumia cheti kisicho chake mnataka aachwe tu.
 
Wameachana na hoja ya ufisad iliyojenga chama wameamia kusema watu vibaya kwa kuzusha.
 
Umeleta cheti? Kama social media inauma funga mkuu.
 
Kinachomuogopesha Bashite asijitokeze ni kwamba iwapo ataeleza kuwa alisoma pamba sekondari kwa jina la Makonda itakuwa ni sawa na kujikaanga kwa mafuta yake kwa kuwa utapatikana ushahidi kirahisi kupitia wanafunzi wa wakati ule na Uongozi wa Shule hivyo ameona bora kukaa kimya asiumbuke zaidi
 
kwahiyo wanamsafisha
 
Ushauri mzuri sana lakini ingekuwa vema ukaelekezwa kwa Ma Meya kuliko RC.
 
Mkuu mbona kazi zote hizo naona ni za jiji na sio za mkuu wa mkoa,
Ni za jiji lakini wenyewe hawaziwezi kazi macho kodo kwenye pesa za jiji! Go Makonda Go.
 
Shutuma za huyu jamaa kutumia vyeti visivyo vyake wengine tumeanza kuzisikia toka Ushirika wala hazijaanza leo.

Huyo askofu wenu amekuja kukoleza moto tu.

NB: Kutumia cheti kisichokuwa chako ni kosa kisheria hata kama 90% wanatumiwa vyeti feki.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…