Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Mmaliza utata wote ni Paul Makonda wa Dar

Petro umeona ambavyo hatuna majibu??

Halafu tunachorwa tu!

juzi kati hapa matokeo ya JANET MAGUFULI, yule mtoto wa kikwete, akina kibonde n.k yalianikwa kila mahalai kwenye social media....walipofuatiliwa

KAMA HAYA

screen-shot-2016-06-03-at-10-34-02-png.353229

Sasa Petro, wewe ni msomi

Binafsi nataka kwanza

1. nione matokeo ya Daudi Bashite kama hapo juu
2. Ya yule Paul Kagenzi

Hakuna mtu NECTA wa kupiga picha hayo matokeo ya hawa watu na kisha tukaendelea na vurugu zingine??

Petro!!! sitaki kuamini haujawaza hili
 
Halafu watu wanaita kuitwa kwa wanaojihusisha na madawa kujieleza polisi baada ya siku mbili kwamba inatoa nafasi kwa wao kuficha ushahidi kwamba huo ni ujinga kwa upande wa mkuu wa mkoa.

Kwani mkuu wa mkoa ni mjinga kujua kwamba hawa jamaa ni watu sophisticated kiasi kwamba ni vigumu sana kuwakamata "red handed" hata kama ni kwa kuwavizia?

Strategy ya mkuu wa mkoa ilikuwa moja, shaming the impostors. Alikuwa anatuma meseji kwa public kwamba hao jamaa ni mbwa mwitu, si kondoo kama ngozi yao inavyojionyesha kwa nje.

Kwa bahati mbaya watz tunashindwaga kufikiri beyond mere words. Na ndio maana akina Gwajima na watu wengine wa dizaini hiyo wanatudanganyaga kilainiiiiini.....
Is there any need for shaming the impostor while ur struggling to eliminate the issue of drug in the country usipende kutetea ujinga kuna maana gan sasa hapo kama sio revenge iyo kama umeamua kupambana na iyo ishu lazima ufuate protocol co kuita ita watu hovyo hovyo kwanza huon kama na yeye anahusika hapo kinamna moja au nyingine kupoteza ushaid wa drug dealers wakubwa
 
Habari za asubuhi watanzania wenzangu. wakati mwingine hua natamani niwaone nyuma ya keyboard zenu pengine naweza nikapata uhusiano wa mtoa post au mwenye kukomenti na umri wake cheo na elimu yake.. wabongo wakianza kukomalia tukio moja hata kama la uzushi wanakomaa kwelikweli. Na mengi tunayoyasoma humu ni shutuma za visasi, majungu, uadui, kuvunjiana heshma na mengine mengi. Tuliimba sana humu wakati Wa Jk mpaka server ikajaa lawama kwa jk......tukamkataa tukiomba Rais mwenye uthubutu mkali asiwe dhaifu katika mambo yanayohusu maslahi ya taifa . Tukaletewa Rais Wa sifa zile tunazozihitaji tukaanza kuzaja server kwa maneno kinyume kabisa na tulichoongea nyuma ikapigwa kelele za uonevu kuwa tuna Rais dikteta tena sio dikteta tu bali ni dikteta uchara neno lenye athari ya kebehi na chembechembe za dharau. Tukaingia kwenye hoja ya dokta Dau aisee hapa kila post ilikua ni kumchafua Dau Mara ana sehemu ya umiliki Wa Newcastle football club Mara ana utajiri Wa kutisha,....tukazijaza server humu kwa hadaa na majungu...,Tukakakamaa shingo kupiga kelele kuhusu madawa tukaambiwa majina yapo Jk aliyakalia hakuyataja ametokea dogo Makonda akajitoa mhanga ......aisee nikastaajabu server zinajazwa kwa kumponda makonda..je Yale majina mliotaka yatajwe ilikua ni changamsha baraza tu Tubadilike jamani. kama makonda alifoji vyeti alikua muovu kiasi gani basi huu si muda wake wa kumchukulia hatua wala kumbeza wala kumsema vibaya otherwise utakua ndio yalee umetia mafuta ya taa shimoni ujue kila mdudu atatoka humo. TeamMakonda have my full support.
Not all the time I'll be on your side bcz we are dynamic if you deviate from the truth I'll be against you. NAM
 
Kwan sisi tuna ugomvi na bwana daudi bashite?hapana kwetu sisi tunaona umuhimu wa kuhoji tuh

Kama kuhoji elimu yake bwana daudi bashite wa kolomije ni dhambi basi wacha tuende motoni

Huyu kiumbe alizungusha yani...alipata zero yaaani..zero yani

Yaani Fa Fa Fa...huyu kiumbe ana case ya kujibu
 
ukiitwa kuripoti central ndio unaanza kuhoji what does it mean?
 
Issue ni fraud and forgery
Niko njiani naelekea koromije
 
Acheni kutetea ujinga.

Yaani mtu anatumia cheti kisicho chake mnataka aachwe tu.

Kila safar ina mwanzo wake mkuu..

Gwajima keshakuambia malaika wa bwana kamshukia muache adownload material wewe shida yako nin?

Kama bwana daudi bashite wa kolomije na uhakika wa vyeti vyake si atoke hadharan kukanusha?
 
Makonda kila shutma aliyokuwa anaiona mitandaoni dhidi yake ilikuwa lazma aende clouds kutolea ufafanuzi!
Leo hii amekuwa wa kuogopa media kutolea ufafanuzi ishu ya vyeti!

Trust me kama asipojitokeza sidhani kama future yake itakuwa nzuri huko kwenye siasa!
Akina mwigulu hawakuwa wajinga kutoa ufafanuzi
 
kadri mnavyoshupalia hili jambo ndivyo tunavyozidi kuifahamu dhamira yenu mwacheni amalizane na wauza unga then mtahukumu cheti chake.....madawa yanaua nguvu kazi na future ya Tz...kuliko hiko cheti chake.....
 
Kwan sisi tuna ugomvi na bwana daudi bashite?hapana kwetu sisi tunaona umuhimu wa kuhoji tuh

Kama kuhoji elimu yake bwana daudi bashite wa kolomije ni dhambi basi wacha tuende motoni

Huyu kiumbe alizungusha yani...alipata zero yaaani..zero yani

Yaani Fa Fa Fa...huyu kiumbe ana case ya kujibu

Yaani hata wamsafishaje hasafishiki hata kwa OMO,halafu ni Foolish zote hakuna hata Sport
 
kadri mnavyoshupalia hili jambo ndivyo tunavyozidi kuifahamu dhamira yenu mwacheni amalizane na wauza unga then mtahukumu cheti chake.....madawa yanaua nguvu kazi na future ya Tz...kuliko hiko cheti chake.....

Wauza unga siyo kazi yake,atuleteaa vyeti kwanza.Ukuu wa Mkoa hauhitaji chati,atuletee vyeti vyake vyote
 
kadri mnavyoshupalia hili jambo ndivyo tunavyozidi kuifahamu dhamira yenu mwacheni amalizane na wauza unga then mtahukumu cheti chake.....madawa yanaua nguvu kazi na future ya Tz...kuliko hiko cheti chake.....
Kwani kazi ya kamishina Sianga nini? Ashakabizi mikoba kwa kamishina ngoja tudeal nae personally
 
Habari za asubuhi watanzania wenzangu. wakati mwingine hua natamani niwaone nyuma ya keyboard zenu pengine naweza nikapata uhusiano wa mtoa post au mwenye kukomenti na umri wake cheo na elimu yake.. wabongo wakianza kukomalia tukio moja hata kama la uzushi wanakomaa kwelikweli. Na mengi tunayoyasoma humu ni shutuma za visasi, majungu, uadui, kuvunjiana heshma na mengine mengi. Tuliimba sana humu wakati Wa Jk mpaka server ikajaa lawama kwa jk......tukamkataa tukiomba Rais mwenye uthubutu mkali asiwe dhaifu katika mambo yanayohusu maslahi ya taifa . Tukaletewa Rais Wa sifa zile tunazozihitaji tukaanza kuzaja server kwa maneno kinyume kabisa na tulichoongea nyuma ikapigwa kelele za uonevu kuwa tuna Rais dikteta tena sio dikteta tu bali ni dikteta uchara neno lenye athari ya kebehi na chembechembe za dharau. Tukaingia kwenye hoja ya dokta Dau aisee hapa kila post ilikua ni kumchafua Dau Mara ana sehemu ya umiliki Wa Newcastle football club Mara ana utajiri Wa kutisha,....tukazijaza server humu kwa hadaa na majungu...,Tukakakamaa shingo kupiga kelele kuhusu madawa tukaambiwa majina yapo Jk aliyakalia hakuyataja ametokea dogo Makonda akajitoa mhanga ......aisee nikastaajabu server zinajazwa kwa kumponda makonda..je Yale majina mliotaka yatajwe ilikua ni changamsha baraza tu Tubadilike jamani. kama makonda alifoji vyeti alikua muovu kiasi gani basi huu si muda wake wa kumchukulia hatua wala kumbeza wala kumsema vibaya otherwise utakua ndio yalee umetia mafuta ya taa shimoni ujue kila mdudu atatoka humo. TeamMakonda have my full support.
Not all the time I'll be on your side bcz we are dynamic if you deviate from the truth I'll be against you. NAM
Ni kweli kabisa makonda tuko nyuma yako mpaka utakapo weka vyeti mezani !
 
Back
Top Bottom