zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,694
- 3,242
Kuandamwa kwa Makonda kunathibitisha juu ya upana, urefu na kina cha vita dhidi ya Madawa ya kulevya. Na kwa watu walio neutral kwa hili suala la kutaja au kutotaja majina, binafsi naona kutaja ni "effective" kuliko kwenda kimya kimya.
Wauza unga ni ruthless. Ukimtazama Gwajima tu ujasiri alionao - outrageousness of an impostor - katika kuwadanganya waumini wake, unajua kabisa kwa nini ilimuuma sana kumtaja, na unaelewa kwa nini atatumia njia yoyote ile kujisafisha. Hawa watu ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo. Kuwaexpose for what they are ndio njia pekee ya kuwashinda. Kama wasemavyo wanasaikolojia wa vita: Mjue adui ndani na nje upate kumshinda.
Makonda anaweza kuwa na mapungufu mwngine lakini kwa hili la kuwataja waziwazi yupo sahihi.