Hakuna kufungua thread nyingine, maadam inahusu vyeti tuchanganye humohumo!fungua thread inayomuhusu Mbowe.
Hakuna kufungua thread nyingine, maadam inahusu vyeti tuchanganye humohumo!fungua thread inayomuhusu Mbowe.
haya.Hakuna kufungua thread nyingine, maadam inahusu vyeti tuchanganye humohumo!
Kufeli sio dhambi duniani na kila mtu aliwahi kufeli kwa namna fulani maishani, tatizo kununua cheti we jomba. Hebu tuambie Mbowe alipofeli alifanya fraud? Alinunua cheti?
Kama Makonda alipofeli angeendelea na jina lake na ishu zake wala hakuna ambae angelalamika hata kama angekuwa RC au waziri, mbona Sendeka alifeli alipata zero na ni RC umeona watu wanalalamika kihivi?
Naye alitumia cheti cha mtu? Afadhar uwe na ka certificate lakini jina lako, umekasotea to mwanzo.Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!
Sorry mkuu; unataka kunambia Mbowe nae hatumii jina lake halisi? Au sijakuelewa? Maanake hadi dada zake tunajua wanatumia jina hilo hilo la Aikael Mbowe na wana fanana fanana na of course hata historia ya jina lake la Freeman amewahi kuitoa kwamba baba yake mzee Aikael alikua miongoni mwa fighters wa uhuru wa nchi hi na huyu freeman Mbowe alizaliwa mwaka 1962 wakati Tanzania inapata jamuhuri na hapo ndio baba yake akaona amuite huyu kijana wake mpya kwa jina la Freeman kwasababu mzee wake alijihisi kua yupo huru; may be we unajua tofauti; nilio yaandika niliwahi kumsoma Freeman Aikael Mbowe mwenyewe na sijawahi kumsoma Bashite anywhere kuhusu usahihi wa jina lake so binafsi basi nipo njiapanda kama hilo jina lake la sasa ni la kweli au sio lake!?fungua thread inayomuhusu Mbowe.
Tena mi nashangaa Bashite Mkuu siku anawaapisha alitamba kuwa wateule wake wote "warikuwa na mastaze", imekuwaje sasa kwa huyu? Au ndo Bashite Mdogo kwa ujanja ujanja wake mwingi alipeleka tena cheti feki cha "Mastaze"???Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, nakuandikia ujumbe huu mfupi kupitia mtandao huu wa kijamii wa Jamiiforums kutokana na kinachoendelea dhidi yako. Mitandaoni kunaandikwa na kusemwa kuwa unahusika na kutumia cheti ambacho si chako cha kidato cha nne. Wapo wanaofikia hata kukuita jina la Daudi Albert Bashite.
Najua wewe ni kiongozi wa kiserikali: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Najua kuwa Rais alikuwamini kila idara inayokuhusu kabla ya kukuteuwa kuwa katika nafasi hiyo. Najua kuwa Rais anakufuatilia kila uchao kama mteule wake. Najua pia nafasi yako kiuongozi inakupa heshima na hadhi tofauti katika jamii ya watanzania.
Kuambiwa kuwa umetumia cheti cha mtu mwingine kwakuwa wewe ulifeli kwa kupata sifuri (kulingana na Mchungaji Gwajima) ni suala kubwa. Ni suala linalogusa maadili,heshima na hata utendaji wako. Cheti ndicho kinachompa mtu nafasi fulani ya kimaisha katika jamii na ndiyo maana kinapaswa kwanza kuwa cheti chake mwenyewe muhusika.
Kelele nilizozisema hapo juu zikiendelea zitaonekana ni ukweli. Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, nakushauri ufanye hivi. Kama unaamini kuwa unachafuliwa na kutwezwa kwakuwa kinachosemwa si kweli, waburuze mahakamani wote wanaokuchafua na uwadai mabilioni kulingana na heshima na hadhi yako. Tafadhali usitumie vyombo vya dola kwa mambo yako binafsi.
Muda wa kuweka kumbukumbu zako sawa ni huu kwakuwa unapaswa kuuanika ukweli juu ya kinachosemwa. Zinatumika media katika suala hili kwakuwa nawe ni mtumiaji mzuri wa media hizo. Nawe tumia media kujisafisha na kutangaza kuwashughulikia kimahakama wote wanaosema hayo, kama wanayoyasema si kweli. Kama ni kweli, endelea kukaa kimya.
Endeleeni kukumbushia kwenye thread inayohusika, huku kutapanya kama bata mtajibiwa kweli?Tumeshafungua thread nyingi tu ila mpaka sasa hamjatupa majibu ya kueleweka! Bado tunaendelea kuwakumbusha pale inapotokea nafasi ya kufanya hivyo!
Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!
Mbona Mwigulu alitoa ufafanuzi ambao kila aliyemsema waka kaa kimya Makonda nini kinakushinda kama kila kitu kipo sahihi kwa nini usiondoe hizi kashfa hii inaathiri hata familia yako
Kwani naye alitumia cheti cha mtu mwingine?Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!
Ni kweli mlifungua lakini hapa anaongelewa mtumishi wa serikali mwenyewe tuhuma ya kutumia cheti cha mtu kitu ambacho ni kinyume cha sheria sasa subiri siku mbowe akiwa mwajiriwa wa serikali ndio ulete Uzi wakeTumeshafungua thread nyingi tu ila mpaka sasa hamjatupa majibu ya kueleweka! Bado tunaendelea kuwakumbusha pale inapotokea nafasi ya kufanya hivyo!
Kama kweli vimepotea pengine kuna mtu Mashuhuri anavitumia kama vyake.Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!
Am impartial to the politics... ukwel wameanza kuukimbia wauza unga.. unga ndo topic ilio tufikisha hapa.. saiv tumesahau topic kuu tumeamia kwenye vyeti..Alimalize hili tuone hilo jingine litakalokuja siyo kujifanya mnataka kukimbia ukweli