pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Mnajulikana kwa hilo nyie Lumumba, kila mkifanyacho huwa mnatumwa kwa hela ya kilo 3 za sukari.Acha mawazo mfu mkuu kuwa kila anayemsifia kiongozi ka kufanya vizuri eti analipwa, wewe kama mbowe anakulipa kwa kumsifia basi ni juu yako
Hakuna malipo mkuu ni kutambua tu mchango wa kiongozi na kumpa haki yakeHivi huwa mnalipwa shs ngapi kwa kazi hizi?
Nipe ushahidi wa madai yako, vinginevyo ni porojo tu kama za viongozi wenuMnajulikana kwa hilo nyie Lumumba, kila mkifanyacho huwa mnatumwa kwa hela ya kilo 3 za sukari.
Acha ndoto za mchana mkuu ni mbaya sanaHuyu Ana kesi ya kujibu subir baba ake atoke madarakani
ipo kwenye tume ya maadili kati ya wananchi wa tanzania wakiwakilishwa na meya jacob na daudi albert bashite kwa jina la wizi anatambulika kama paul makondaIko mahakama gani, na ni kati ya nani na nani
Hakuna ki2 kinaitwa spinal code ktk mwili wa binadam there is spinalcordMakonda anatumia brain kutoa Maamuzi hatumii Spinal Code
Unajua taratibu za mtu kuwawakilisha watu wengine katika shauri lolote au unaongea tu kuwa anawawakilisha wananchi wa Tanzania, kwanza huwezi kufungua shitaka dhiki ya mtu asie exist basi wacha tusubiri ili atuambie huyo Bashite ni naniipo kwenye tume ya maadili kati ya wananchi wa tanzania wakiwakilishwa na meya jacob na daudi albert bashite kwa jina la wizi anatambulika kama paul makonda
Kukosea ni jambo la kawaida so jamaa kakosea tuHakuna ki2 kinaitwa spinal code ktk mwili wa binadam there is spinalcord
LEO WANAJITAHIDI KWELI KUWAPAMBA DAB NA BABY WAKE, NADHANI LEO KNA MASHINDANO HUKO LUMUMBA KWANI TOKA ASUBUHI WANAPANDISHA NYUZI ZA KUSIFIA ZA KUTOSHANaona mmejipanga kweli kumsafisha, mi naona cha msingi aweke mezani vyeti then tutaendelea na porojo nyingine
Asante kwa kunisikiHaya tumekusikia.
watu wana ushahidi hadi shule ya msingi kolomije alikuwa anaitwa bashiteUnajua taratibu za mtu kuwawakilisha watu wengine katika shauri lolote au unaongea tu kuwa anawawakilisha wananchi wa Tanzania, kwanza huwezi kufungua shitaka dhiki ya mtu asie exist basi wacha tusubiri ili atuambie huyo Bashite ni nani