Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

View attachment 721547 Hali hii hadi lini? Wanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mikumi iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa madawati katika darasa hilo, wakati wa masomo. Tupe mtazamo wako kuhusu miundombinu ya elimu nchini mwako. Picha na Eric Boniphace.

Kaweza kumanipulate wajinga kwa kujigeuza mahakama
 
View attachment 721547 Hali hii hadi lini? Wanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mikumi iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa madawati katika darasa hilo, wakati wa masomo. Tupe mtazamo wako kuhusu miundombinu ya elimu nchini mwako..
Nchi haijengwi kwa kudokoa dokoa vitatizo hapa na pale na kuvishughulikia kwa kuomba fedha huku na kule. Nchi inajengwa kwa mikakatiti maalum na endelevu. Unaweka systems imara na kuzisimamia ili zitatue matatizo.
 
View attachment 721547 Hali hii hadi lini? Wanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mikumi iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa madawati katika darasa hilo, wakati wa masomo. Tupe mtazamo wako kuhusu miundombinu ya elimu nchini mwako. Picha na Eric Boniphace.
Dah, shule yangu hiyo. Yaani mwaka 1983 -84 nilikaa chini na kwenye msongamano kama hivyohivyo. Nilikuja kukaa kwenye dawati nilipokuwa darasa la 7.

Vv
 
View attachment 721547 Hali hii hadi lini? Wanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mikumi iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa madawati katika darasa hilo, wakati wa masomo. Tupe mtazamo wako kuhusu miundombinu ya elimu nchini mwako. Picha na Eric Boniphace.
Wewe ni kampeni ipi uliyofanikisha?

Kutwa nzima unaongelea wengine tu ,shame on you
 
Back
Top Bottom