Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Kwahiyo unataka Makonda naye azibe mdomo? kama hiyo ni sifa ya Mh Mkuu sana basi anamatatizo makubwa sana.
 
Mkuu wa mkoa mchapa kazi kuliko wote Mh. Paul Makonda, amefika hatua anajiona naye ni Rais wa sehemu husika kana kwamba anaweza ongea lolote,

Nakupa sifa moja kuu ya Rais Magufuli,

Hapendagi kukosolewa au kuonekana amekosea katika mambo yake, mbaya zaidi ukimkosoa katika tuezi anazofanya, tunayo mifano mingi juu ya hilo.

Kuna kipindi watu walishinikiza utoke katika ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwasababu wanazojua wao, lakini aliyekuteua kwa jeuri akasema hawa hawanijui sikutoi na sipangiwi.

Likaja suala la Mnyeti akasema hupangiwi na ukampa kabisa cheo, suala lako Makonda na Nape, Nape alitaka kuonekana anajua sana mpaka kuingilia kuchunguza mtu ambaye kateuliwa na Rais, hakubaki salama.

Sasa naona wewe umeanza kuteleza juu ya Juliana Shonza na kupost post mambo ya kumponda Shonza na kumtetea Diamond, so suala la kuingilia kichwa kichwa ili utamkera mkuu sasa hivi na kufanya aonekane hana busara katika teuzi zake.

Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongella,?


Ni hayo tu

Duh aisee ni laana kuzaliwa taifa moja wajinga huyo magufuli ni Mungu?? Mpaka atukuzwe???
 
Back
Top Bottom