Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

sidhani kama anaweza kumkwaza mkulu....bashite anandliwa kuwa kiongozi mkubwa na mkulu
 
kufanikiwa kuwa naibu raisi "" wakati amefoji vyeti "" hayo nayo nimafanikio mkuu""
 
Mtoto wa ngombe (ndama) anapokuwa mdogo mama yake anampenda sana, lakini kadri anavyokuwa mkubwa upendo kwa mama hupungua, mwishowe huyo mtoto anaweza mpanda mama yake na kumpatia mimba
Movie inaendelea yetu macho tutayaona
hahaaa dadeq
 
Back
Top Bottom